المدة الزمنية 34:51

Yapokee kwa kuamini/ Ukiamini Mungu ni ngao yetu/''Achia tawi'': Padre Dkt Kamugisha

بواسطة Faustin Kamugisha
12 097 مشاهدة
0
106
تم نشره في 2021/08/17

Ni mfululizo wa mafundisho ya kila juma kutoka katika Kanisa kuui la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba, Kila juma Padre Dkt Faustine Kamugisha hutoa mafundisho mbali mbali na juma hili mada ni UNAYAPOKEAJE..? Karibu sana kila juma kanisa kuu Bukoba katika mafundisho haya . www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10