المدة الزمنية 24:51

MANENO MAZITO YA DKT MWINYI MBELE YA MAALIM SEIF

بواسطة ZINJIBAR TV
79 543 مشاهدة
0
322
تم نشره في 2020/12/11

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #Zinjibartv Follow Zinjibartv Facebook | Zinjibartv INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online Wasiliana nasi kupitia number +255 773 071 409 +255 773 878 523 Zinjibartv Journalists cc: Safia Hussein cc: Maryam Kidiko cc: Abdillahi Camera Department" Abdillahi Mohammed Abeid Editors: Mohammed Abeid Ali Hassira Video Zingine: Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA /watch/I-0qPiHzwZBzq /watch/AGn4b51VuC_V4

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 136
  • @
    @hanifatanzania7258منذ 4 سنوات Mwinyi maashallah na mwalim Sef Muwekitukimoja Allah awasimamie wote msafianenia na Muongize KWA haki lnshallah 6
  • @
    @procurementmanager1289منذ 4 سنوات Mashaalah.m/mungu atatusahilishia kwa yote mazito na atuongoze ktk njia ya haki ..Inshaalah Ameen 3
  • @
    @jumamzee6999منذ 4 سنوات MashaAllah Allah akufanyieni wepesi katika uongozi wenu mwema Ameen 5
  • @
    @munirmgeni5280منذ 4 سنوات Mungu atupe kheri na neema nyingi katika nchi yetu 5
  • @
    @hamudseifمنذ 4 سنوات Watuletee mashekhe wa uamsho ni muhimu kuliko chochote, viongoz madhalimu sana awa wanajivika vaz la kutuhadaa cc akat wameficha uchafu wa dhulma kwnye vifua vyao, Allah atuklipen kuanzia apapa dunian insha allah 4
  • @
    @simbalion2871منذ 4 سنوات Nakupenda my mwinyi naomba muwatoemashekhe ili furaha izidi Allah mjuzi zaidi
  • @
    @jumammanga675منذ 4 سنوات Hongera sana ras wetu mungu akujalie malengo yako kwa wananchi ufanikiwe mungu akubarik inshaallha 3
  • @
    @sheikhajaffar6975منذ 4 سنوات Dr Hussein Mwinyi na wenzio ili tuzidishe upendo kwenu mtutolee masheikh wetu nje ndio dua yenu itafika juu vinginevyo haivuki hata mnara wenu wa kisonge id="hidden2" class="buttons"> mungu anawalaani na uongozi wenu hilo ni jukumu lenu musipo watowa mungu azidi kutupa laana zake mpaka kitasimama kiama ....وسعت
  • @
    @seakodammam2285منذ 4 سنوات Na mashehe muwatoe kama munataka wazanzibar wa kubali kuwa Nia zenu ni njema 6
  • @
    @kanaanrajab8990منذ 4 سنوات A.ALEIKUM KIUKWELI INAPENDEZA SANA WANZANZIBAR KUWA KITU KIMOJA LOVELY YOU ALL ALLAH TULINDE NA FITNA ZA NDANI NA NJE 4
  • @
    @skkonthetop8876منذ 4 سنوات Mashaa Allah Tabaraka
    Wataalah. Kwa Khutba
    Nzuri na ya Maana sana
    Ya MH. Dr. Rais Hussain
    Wa Zanzibar.
  • @
    @aishasaid6749منذ 4 سنوات In shaa Allah umoja huo udumu sio ukifika uchaguzi munavaa ngozi za chui mnatuona mbwa 3
  • @
    @abduliraimmushi2224منذ 4 سنوات Mashaa Allah Kaka Mwinyi Uhoo Ndiyo Uraisi
  • @
    @salmamohd9060منذ 4 سنوات Allah awongoze ktk kheri lkn na kilio chetu kikubwa masheikh wetu 11
  • @
    @saidamohd1232منذ 4 سنوات Nakupenda mpaka basi mheshimiwa raisi wangu kumbe sijafanya kosa kukupa kura yangu! Mungu akupe maisha marefu akupe wepesi na awashinde na walegee hao wasioipenda nchi yetu.Nakutakia kila la kheri
  • @
    @mohammedmbarouk5729منذ 4 سنوات Kila la kheri mh.mteule wetu wa kule dodoma,mungu akusimamieni ktk kila hatua mtakayopitia ktk hayo maendeleo ya wazanzibar wanyonge
  • @
    @gadielmungure7029منذ 4 سنوات Hongera mh rais mwinyi na seifu maalim kwa maridhiano na kuunganisha wazanzibar kuwa wamoja umeonesha uongozi bora si bora uongozi
  • @
    @muhammadmuhammad5043منذ 4 سنوات Mashaallah Allah Akujaaliye Uwepo Umoje Mziri Mungano Wetu Tutoleeni Masheikh Wewe Nao Hayo Maombi yetu ilitungano Nao
  • @
    @tuterlakapo2016منذ 4 سنوات "Alhamdulil'Lah.. mashaallah hkk ni maneno mazito ya Mh.Dkt. Mwinyi.. Ambayo yana wingi wa busara na mazingatio ndaniyke.. Anaonyesha wazi ya id="hidden4" class="buttons"> kwamba anayo hesiya kubwa ya kutaka umoja na mshikamano wa pmja nakuwa kitukimoja kwa mustqbal nchi na wana nchi kwa ujumla wake, ishallah tumuombe Allah awapenguvu juu yahilo..amin. Lakinipia Mola amzidishie imani na ehsan kuwafikiria Masheikh walioekwa kizuizni..alaw Waachiwe huru tena.. wajekujenga kisiwa upendo na mshikamano.. Allahumawaafiq..amin. Hkk ni maskitiko makubwa na huzni ya wengi kibidam juuyao c jngine ya lolote..ma. shukran" ....وسعت
  • @
    @zakwani885منذ 4 سنوات Tumefurahi sote wa nje nawandani ya. nchi M mungu awajalie kila la kher na mafanikio mema na ahadi muitekeleze usitiwe ushawishi na wa baya uwe makini na Allah yuko pamoja na nyie na maelekeo mema ameen
  • @
    @alialibablly7010منذ 4 سنوات Na muujue wapo walio ridhika maridhiano na wengine bado na kuridhika kote na upendo uzidi kiu ya wazanzibar kuona Masheikh wakizanzibar wanarudishwa znz 4
  • @
    @mudy4604منذ 4 سنوات Tumuombe mungu atufikishe baada y miak 5 tumjua mnafiq 4
  • @
    @mamunote3507منذ 4 سنوات Mabrukeen Wanzanzibar wote
    Alwah atupe Upendo wa dhati na tushikamane kwa kuendeleza
    Zanzibar na Tanzania wote kwa Ujumla
  • @
    @z.nalnabhani7194منذ 4 سنوات Rais mwinyi ni kiongozi mazuri Allah awasimamie pamoja na maalim seif 10
  • @
    @maryamali1019منذ 3 سنوات Allah awajaalie kila lakheri raisi wetu mpendwa ukiwa sambamba na maalim seif allah awape nguvu za kutekeleza yale muliyo yaahidi kwani ahadi nizenye kuulizwa mbele ya m/mungu .jitahidi sana mh rais
  • @
    @mwambamkombozi4672منذ 4 سنوات Tungependa kusikia maneno mazuri kwa ndugu zetu waliopoteza maisha kwa ajili ya uchaguzi (uchafuzi) pamoja na wale ambao wamejeruhiwa.
  • @
    @mrfroastyمنذ 4 سنوات Masheikh wetu jamani wanasota jela. Maasalaam
  • @
    @alialibablly7010منذ 4 سنوات Halafu tv muache ubaguzi wa vyama km mnataka maendeleo ni kwa vyama vyote si mutangaze matangazo ya dini wakati muna ubaguzi tunawangalia tu ila Mungu anawangalia vizuri hii dunia mapito akhera kuhesabiwa 1
  • @
    @mrjagenmuuz5704منذ 4 سنوات Uchaguzı amanı haıkuwepo wa usalama tushukuru Mungu tuu kwamba vurugu lımeısha walıoumızwa wanauguza majeraha yao na walıokufa Allah awarehemu
  • @
    @salimsaid8348منذ 4 سنوات Bango la kisonnge bado linaweka chuki kwa wananchi ni bora uliondowe Rais wetu 6
  • @
    @rashidomar2771منذ 4 سنوات Mheshimiwa ,,mashehe wetu tunawataka,,wasidhalilishwe bure,,,nyinyi viongozi mliokaribu nae mkumbusheni ,,awatoe jela 21
  • @
    @mariamfaki1166منذ 4 سنوات Utaimaliza misikiti mara hii haisadii uliyoyafanya tutayakuta hapana shaka kwa hilo kwani uchaguzi haukua wa haki usiwadanganye watu mungu anakuona haya ya dunia tutayaacha kazi ipo huko twendako yarab 2
  • @
    @muhammadmuhammad5043منذ 4 سنوات Nasisi Tunakuomba Masheikh Wetu Uwatoee Tushirikiane 3
  • @
    @cadabra7402منذ 4 سنوات Mashekhe wetu tunawaombaaaa haraka iwezekanavyo , na kwa waliodhulumiwa sio sisi ambao tunatoa msamaha , ispokuwa ni Allah (s.w), na pamoja na kuwaomba radhi kwa mliowajeruhi na kuwapoteza watu wao.
  • @
    @TeamKRXمنذ 4 سنوات Nimeamini ugomvi wa ndugu maisha yote usijaribu kabisaa kuungilia matokeo Yale unapata fedheha mwisho wake utaanguka ISO chini
  • @
    @TeamKRXمنذ 4 سنوات Inapendeza lakini mashalah ila inauma viongozi zzzzz wa ccm mbona mushazisahau hivi zikri
  • @
    @rashidkhalfan7556منذ 4 سنوات Mnapendaa kuchanganya dini na siasa ss mbona hao masheikh mnaendelea kuwatesa Mungu anawaona nyinyi wacheni unafiki mungu mkubwa sana
  • @
    @axmedcali5097منذ 4 سنوات Na vile ogopeni kwenda kuulizwa kuhusu kuwatia gerezani mashehe 1
  • @
    @kisa6022منذ 4 سنوات Very sad ..uchaguzi umepita kwa salama na amani..mhhhhh 2
  • @
    @mohammedmbarouk5729منذ 4 سنوات Haki haipo nchi hii tangu hapo kaleee tusidanganyike bahnaaa
  • @
    @abdulhamidhaji5056منذ 4 سنوات na mashekhe wetu muwatowe kule waliko, wana familia zao zinahitaji huduma zao
  • @
    @fakihdarusi4385منذ 4 سنوات Mh! Kwakwli pia tutajikia faraja wale ndgu zetu wakitolewa kule rumande
  • @
    @TeamKRXمنذ 4 سنوات Magu jeshi lako limezaa matunda imebaki kwako
  • @
    @mohammedmbarouk5729منذ 4 سنوات Kumbe na ss wazanzibar tuna nchi eeehhh!!!!??mbn haiyonekani kama iko hvyo???
  • @
    @salimseif5491منذ 4 سنوات Uchaguzi haukupita kwa salama,mtangazaji usipotoshe,au hukuona wale waliopigwa,kuumizwa,kuuliwa na kutiwa ndani kwa makosa ya kubandikizw
  • @
    @masoudsalim7718منذ 4 سنوات Apo mm sjaelewa UCHAGUZI wa .
  • @
    @sudaissoud3670منذ 4 سنوات Unajua kua dhulumati wataka tusikumbushe
  • @
    @omqnoman9915منذ 4 سنوات Tunakuomba muwatoe mashehe jamani rais mwinyi na maalim seif mashehe jamni
  • @
    @hafsamansoor3977منذ 4 سنوات Maamuzi yawe yenu wenyewe bila kutokea bara mtakwama.
    Masheikh wetu vipi
  • @
    @sayidabdillah8505منذ 4 سنوات Kiongizi wetu mwinyi tunamuomba mungu akupe nguvu but pia tunamuomba uwatowe nje wale mashekh wetu lakini pia usimamie kuondoshwa kwa kuandikwa maneno id="hidden11" class="buttons"> ya uchochozi pale kisonge na tena saiv yameboreshwa yanandikwa kwa njia ya keletronic sio jambo zuri ....وسعت
  • @
    @abuubakalmtangenange4389منذ 4 سنوات Zanzibar ingekua nchi masheikh wetu wa uamsho wasngetolewa Zanzibar na kuletwa Tanganyika hali ya kua Zanzibar nchi mimi mtanganyika ila siungi mkono Zanzibar
  • @
    @hajishaibu8295منذ 4 سنوات Ngoja uchaguzi ufike 2025 ndio tutajua
  • @
    @hauranyussuf5277منذ 4 سنوات hapo hamna mashekhe kuna wanafiki tu waisilamu wezunu wapo jala hamna hata mmoja wenu alofungua mdomo kawatetea
  • @
    @hajimakame1062منذ 4 سنوات Haikubaliki dua iyoo mnaimba tu apo mtu akaomba dua hulia nyie mwacheka tu apo wanafiki wakubwa njie odokeni apo na nyimbo yenu iyoo wanafiki wakubwa njiee
  • @
    @riemagwada3178منذ 4 سنوات Tunawaombea mashke walio fungwa bila atia muwasahee watoke inje waulumieni
  • @
    @jumakapilima5674منذ 4 سنوات Mngefanya hivyo siku zote, mengine yooote yasingetokea,,,,, ,,,, ,siasa sio uadui wala chuki, hayo ndio yanayotakiwa,,,!!!!
  • @
    @mohammedmbarouk5729منذ 4 سنوات Kama ni nchi mbn hatuna maamuzi yetu kama nchi??tuna mteule alieteuliwa kule dodoma na watanganyika ???
  • @
    @bableeyzabdalla531منذ 4 سنوات Huyo Hussein mwinyi ni mnafiki kama shein wanalao ndani ya nafsi ccm sio wakweli niwanafiki kwa dua hio sikweli je wale waliowauwa kwa ajili lazima ashinde urais familia zao wamezifidia kama dini inavosema
  • @
    @nassorrashid2857منذ 4 سنوات Tunataka masheikh wetu watoke kama kweli unataka amani laa si hivyo hakuna amani.
    Pia Ccm huwa mnapenda maridhiano mkimaliza uchaguzi lkn tukianza uchaguzi maridhiano mnayaondoa sasa ole wenu.
  • @
    @mohammedlaabry5799منذ 4 سنوات Sipendi kusema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru ufala mtupu
  • @
    @alijuma1189منذ 4 سنوات Mie rais mwinyi simuamini mpaka nione mashekhe zetu wametoka jela
  • @
    @abuubakalmtangenange4389منذ 4 سنوات Mikanzu na mikofia mikubwa mikoti mpaka wanahic joto waislam wenzao wapo jela wao hata habari hawana ndio maana nasema Zanzibar sio nchi Wala hussen sio rais ni mkuu wa mkoa
  • @
    @biramsakh9212منذ 4 سنوات Haki iwapi tusubir uchaguzi tu tuje tuone kimbembe. Kuliko majoka wana geuka ccm. Sie letu jicho nakuomba salama 4
  • @
    @aminahhamed747منذ 4 سنوات Unajidanganya uitwae rais mwinyi hapo ulipo km c bunduki na mabomu usingekuwepo hio in dhulma kwa hio jiandae kesho mbele ya hakimu wa mahakimu insha allah 10
  • @
    @BigBoss-jk6fkمنذ 4 سنوات Hilo bibi vipi eti uchaguzi ulikua wa amaani na utulivu linasema uwongo kama watu hawajui ukweli.yaani hata halina haya duh domo kama matako 1
  • @
    @ramlamohammed5773منذ 4 سنوات Mutaulizwa wale mulowaua na kuwavunja na kuwauliza na kuwadhulumu vichwa vao vinawangoja mbele ya Allah kama wewe umeshasahau yeye ameandika katika kitabu id="hidden18" class="buttons"> na shingo yako kuna cd yakungoja ukafunguliwe uone furahia urais sasa utajuta kesho ....وسعت 2
  • @
    @abuubakalmtangenange4389منذ 4 سنوات Mwinyi wewe kibaraka wa Tanganyika umechaguliwa dodoma na umechaguliwa na ccm uwezi kufanya lolote uwezi kuwapinga mabwana zako
  • @
    @nawwafomar4518منذ 4 سنوات bila dola na tume uchaguzi ccm haijawahi kushinda na haitashinda kura yeyote milele 2
  • @
    @saeedabunajash6235منذ 4 سنوات Wewe Mtangazaji vipi "kumaliza uchaguzi na amani" amani tena!! Ulikuwa hupo masiku ya uchaguzi nini
  • @
    @rashidally1149منذ 4 سنوات Ili uoneshe Nia ya moyo mkunjufu ni kukiri yaliotendeka na uombe radhi kwa yaliotendeka 2
  • @
    @ommyd5517منذ 4 سنوات Wakisha fanya ufuska wao badae wanajifnya watu wema 3
  • @
    @salimmauly9575منذ 4 سنوات Uchaguzi wa Amani huyu Malaya vipi alikuwa mgonjwa wakati wa kipindi cha uchaguzi 1
  • @
    @nawwafomar4518منذ 4 سنوات ccm wamedhulumu wameiba kura wamrvunja watu miguu unguja na pemba laana ya mungu iwe juu yao wao na familia zao moto wa jahanamu iwe hukumu yao wote waliopanga kutenda udhalimu huu laanatul llahi
  • @
    @salukanambali7009منذ 4 سنوات Mh makamo wa rais umefanya uungwana sasa tunataka wale wafadhiri uliokuwa unasema watakuja kuleta maendeleo znz sasa walete znz ..waambie waje znz 1