المدة الزمنية 4:37

TMDA YAWANOA WATENDAJI WA HALMASHAURI KINONDONI UDHIBITI WA DAWA BANDIA

بواسطة Fullshangwe tv
70 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/12/25

TMDA imekutana na watendaji wa kujadili na kuhamasishana juu ya utekelezaji wa majukumu ya TMDA ambayo pia yamekasimishwa kwa ofisi za halmashauri, kupeana taarifa ya yaliyobainika katika kaguzi za dawa, vifaa tiba na vitendanishi zilizofanyika katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni hasa kwa mwaka 2021/2022, kutoa elimu ya utoaji taarifa za usalama na ubora wa bidhaa hizo, udhibiti wa tumbaku, kujadili changamoto za utekelezaji wa majukumu ya TMDA hususani ukaguzi na hatimaye kufanya kazi kwa pamoja na kufikia dhima ya kulinda afya ya jamii.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0