PENDANENI MSIBAGUANE wosia wa Baba,Daktari,Askofu ALPHONCE SAMSON MWANJALA ...Haya ni maneno yanayo ishi badala yake Leo kesho na siku zoote ikiwa ni Hotuba,ujumbe,Agizo, Injili yake ya Mwisho akiliaga kanisa na waumini woote wa E.A.G.T BETHELEHEMU SINZA .
.BEANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
TUPO MEDIA INATOA;
SHUKRANI Kwa woote Walio Shiriki kuikamilisha kazi hii
PRODUCTION: TUPO MEDIA
PRODUCER:NATHAN 2K
WAIMBAJI: ANDREW MWASOMOLA
EKILIA AMOS
MICHAEL PABLO
LAX PADROSS
+255757545404,+255716009777