المدة الزمنية 6:37

JINSI YA KUTENGENEZA KEKI TAMU SANA BILA KUOKA - MAPISHI RAHISI

بواسطة Mapishi rahisi
25 286 مشاهدة
0
730
تم نشره في 2020/03/14

Kutengeneza keki baridi na tamu Mahitaji: Biskuti za chai packet mbili za 150g Whipping cream kikombe kimoja na nusu Icing sugar vijiko vitatu vikubwa Kahawa kikombe kimoja. Unaweza kutumia maziwa kama hupendi kahawa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 73