mwimbaji wa nyimbo za injili nchini tanzania wa muda mrefu ambaye alianza kuimba 1995 neema mwaipopo ameeleza mengi juu ya namna ambavyo alifanikiwa kimuziki huku akishangazwa na kizazi cha sasa cha waimbaji wa mziki wa injili namna ambavyo wanauchukulia ,pia ameeleza juu ya mapito ya familia yake
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 15
مقاطع الفيديو ذات الصلة على NEEMA MWAIPOPO AKIELEZEA HISTORIA YAKE JUU YA SAFARI YAKE YA MZIKI, UCHAWI, MAFANIKIO,FAMILIA: