المدة الزمنية 5:6

HII HAPA MELI YA MV MWANZA cheki ilipofikia inakamilika 2022

بواسطة Mwananchi Digital
9 765 مشاهدة
0
60
تم نشره في 2021/12/13

Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) limesema ujenzi wa meli mpya ya Mv Mwanza 'hapa kazi tu' utakamilika mwaka 2022 huku meli hiyo ikitarajiwa kuanza safari zake Novemba mwakani. Akitoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa meli hiyo leo kwa bodi ya wakurugenzi wa TASAC Meneja wa mradi wa ujenzi wa meli hiyo, Vitus Mapunda ametaja mlipuko wa ugonjwa wa Uviko-19 kuchangia kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa meli hiyo iliyotarajiwa kukamilika mwaka huu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11