Karibuni kujifunza namna rahisi ya kupika wali maharage ya nazi au pilau la maharage kama wengi wanavo lifahamu.
Mahitaji.
Mchele nusu na robo
Maharage robo
Carrot 1
Swaumu kijiko 1
Vitunguu maji 2 vikubwa
Tui la nazi vikombe 2½
Curry powder kijiko 1 cha chai
Iliki kijiko 1 cha chai
Chumvi kwa ladha
Mafuta ya kupikia
Ingredients.
Rice 3 cups
Beans 1 cup
Carrot 1
Garlic 1tsp
Onions 2
Coconut milk 2½ cups
Curry powder 2tsp
Cardamom 1tsp
Salt to taste
Cooking oil
NB: coconut milk ratios might vary depending on the type of rice you use
Angalizo:
Wingi wa tui unaweza badilika kulingana na aina ya mchele unaotumia.
Enjoy
Music: Salty People
Musician: Summer Soul
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 16
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Mseto wa wali maharage ya nazi/ coconut rice and beans / pilau la maharage /how to make: