المدة الزمنية 23:8

ALIFUNGUA MLANGO KWA MATAKO/WALITAKA KUNILA NYAMA/ALINIWEKEA MAFUTA YA MTU ALIEKUFA,NYWELE PART1

بواسطة Davistar Mata Media
32 807 مشاهدة
0
344
تم نشره في 2020/04/19

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 119
  • @
    @lucygeorgina86564 years ago Wachawi sio watu wazuri alafu mtu anakuwa mchawi mwisho wa siku hana kitu anakuwa maskini kibanda cha matope mtu anakaa alafu eti mtu anakua mchawi wachawi wote motoni. 20
  • @
    @josephmbunda19294 years ago Hahaha....Leo nimekuwa wa kwanza kulike na kucomment acctualy I never do that🤔👏👏 21
  • @
    @Patience.672 years ago At the name of Jesus every knee shall bow, of those in heaven,of those in earth, and of those under the earth, and every tongue should confess that Jesus is lord for the glory of God the father 🔥 3
  • @
    @cartmation79784 years ago Huyu mzee stori zake zinatisha sana sio za kuangalia usiku 20
  • @
    @esthergasper80864 years ago Davistar jitahidi kusali sana .....sali uwezavyo hawa watu unaoongea nao kila siku ni hatari kwako..muamini Mungu wako unamtangaza shetani bila kujua Davistar...jaribu hata kuhoji walokombolewa ambao wapo tayar mikononi mwa Mungu ... 2
  • @
    @abdulhalimhumud19174 years ago Davi Nakukubali sana Juu Ya vipindi vyako kama Ivi endelea kutuletea matukio Ya kidunia kama aya Asante kaka ❤️🇹🇿 2
  • @
    @abdallagakweli63664 years ago Wp mzee Domo Denda yy tu ndie utapata burudani ndani ya simulizi zke mtafute tena hakosi story yule mshikaji huoni aliunganisha story kama nne nonstop 16
  • @
    @AssumaniNahishakiye-vq9ftlast month Davista mtafute uyo kaka kwakwel brother davista please 🙏🙏
  • @
    @hameedmbogo36334 years ago Huyu jamaa wakulisha wachawi nyoka wa kukausha😄😄 3
  • @
    @amosimwangonji10674 years ago Ata watano sija cherewa sana mweh mweeeh 3
  • @
    @Hassanmofty4 years ago Mzeee nampenda uyu mm jamani khaa mungu amuweke sana anajua kujielezea yani story zake zotee nazipenda 7
  • @
    @mr.jasonfxsignals48734 years ago Kama ni part 1 anza nayo kwanza coz kufuatisha ikue rahisi kwa mfano .....
    Part 1:Alifunga ....ivo
    7
  • @
    @witneyjerry12934 years ago Daviii leta story nyngn hapa kabla haijapoa ,imeishia patamuuu😍 2
  • @
    @deelissa27464 years ago Hizi ndio mamb tunataka sio za kina bwana maskio wajua kabs unaongopewa😂(khiiiiii tukamtoa bata moyo) 🤣🤣jmn kijana muongo yule 10
  • @
    @demitrahawkins54574 years ago Ati dose zangu😂halafu davistar hio smile dah! 2
  • @
    @abbyadams86914 years ago Majini,waganga na wachawi wote hutumia nguvu za shetani. Isipokua hizi ni jamii mbili zilizotengana ndio maana hupigana mda wote. Wote hawa hatima yao ni Jehanamu. Ni sawa na genge la majambazi lililoasi ndio wachawi. 1
  • @
    @mariamfritsi49434 years ago Mimi kinachonishangaza hawa wachawi,juu ya nguvu zao,za kuua na kutesa wenzao, nao pia wanakufa. kwa nini wasijifanyie ili wasife? 2
  • @
    @bettyowiti3974 years ago Mungu na majini ni ndugu?! Mbona sielewi..majini ya Mungu.aaah! Dunia hii ..kuishi kwingi kusikikia mengi.. 1
  • @
    @abdulrahmanhassan92544 years ago Yote tisa babu yake ndio alikuwa mtemi kinomaa. Pia mwambie afungue istagram ili ajitangaze atengeneze HELA 5
  • @
    @ayshamahariq66654 years ago Shkuran braza Davistar wazdi kutuelimisha
  • @
    @butondodavid21054 years ago Nakufuatlia sanq pacha japosielewi vzr kiswahili Iam in American kunayule jamaa story series mpe na hii atusimulie
  • @
    @annamadraga23644 years ago jaman napendaga sana kusikiliza simulizi za huyu lkn naogopaga hapa nimekaa nje 1
  • @
    @mashaelieazer61204 years ago Hao waganga wachawi wote sawa tu kwasababu wanatumia nguvu za Giza, hakuna anaesema anatumia nguvu za yesu kristo. 2
  • @
    @soniyakinywelo86274 years ago Davistar tumepata numbar ya mzee Ila hayupo WhatsApp wengine tupo njee ya Tanzania please mwambie tunahitajisaada wake 2
  • @
    @annajoseph99554 years ago Cjaona cha kucomment nasikiliza kwanza then comment mwishon 5
  • @
    @mwalysmodel82324 years ago Ambao hatukuvutiwa na usimuliaj wa domo tujuane....afu kama mwongo vileee 1
  • @
    @joycengunyi33083 years ago Hujambo Davista naomba kuwasiliana na huyu mtaalam Ako na whatsup number au messanger Niko Kenya Nairobi
  • @
    @fei36684 years ago napenda hizi story ila davista unataka uende sawa kuongea na msimuliaji yan kama interiew bwana yan unakuta msimuliaji kasema nilifungua mlango na wew unaludia tena ulifungua mlango? unaboa bwana 1
  • @
    @alihijiiddi89774 years ago MIZIKI INAKERA NA KUHARIBU STORI HII HAYAMAMBO SIYAHUZUNI WALA MAMBO YA LOVE MNAKERA NA USHAMBAWENU HUWO TONASIKILIZA MZIKI AU HII HISTORI 😇😇😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😳😳😳😳
  • @
    @middleplatnumz36294 years ago Nunua mic nyingine jombaa! Hivyo unaboa
  • @
    @demitrahawkins54574 years ago Davistar what's the meaning of "chimbuko?"
  • @
    @hebronsdaughter16614 years ago Mimi ninavyo amini muganga pia mchawi sema yy ndio mkubwa wa wachawi na hicho kipaji cha uganga hakitoki kwa Mungu cz yy anauwezo wa kishetani mie mganga hanioni kwake ng'o namuomba tu aliye niumba
  • @
    @UNO-xt7we4 years ago Hii stoli ya ukweli kabisa ata sula yake inaonesha sio kama yule domo hana kitu muongo tu hadi stoli zake za uongo kitaani
  • @
    @geraldmaingi29074 years ago It's funny huwa wanafanya all this na at the end utaenda hell kuteseka for eternity 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
  • @
    @demitrahawkins54574 years ago Ofcoz alifanya kitu,alikitengeneza kitumbua kwa kitambaa Cha sanda akalizika
  • @
    @navokisembo4 years ago Mhh hakuna mchawi mzuri kwa Mungu hawafiki labda watubu
  • @
    @bernadethafrancis95394 years ago Kumbe domo denda wengi wamemstukia km muongo! Nenda kwenye you tube Chanel ya Christina Francis kuangalia wimbo wake mzuri Niko huru .
  • @
    @twaibumikidadi73774 years ago pacha wako yu wapi
    domo denda !!!!!
  • @
    @Rose-pz8es4 years ago Whats the code for calling his number for international call...which country he live? Thanks
  • @
    @aminajuma80984 years ago Mmmh I doubt this,I think anatafuta wateja tu but all in all am team Domo💪