Ziara ya wanafunzi wa chuo cha Taifa cha usafirishaji wametembelea Kampuni ya huduma za Melii na kujionea shughuli zonazofanya hapo.
Ziara hii imehusisha wanafunzi katika kozi mbalimbali za ufundi ambazo karibu zote zinaingiliana na shughuli zinazofanyika katika Kampuni ya huduma za meli.
Mfano wa kozi hizo ni umeme wa magari,ufundi magari,bomba n.k
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على SOMENI AJIRA ZIPO MSCL WANAFUNZI NIT WANUSA UHAKIKA WA AJIRA MSCL BAADA YA MASOMO..: