المدة الزمنية 13:59

MDUDE AMTAJA MBOWE - AMELALA NA MKEWE, NIMETEKWA KISIASA

بواسطة Global TV Online
158 272 مشاهدة
0
546
تم نشره في 2019/05/20

MDUDE AMTAJA MBOWE - "AMELALA NA MKEWE, NIMETEKWA KISIASA" Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mdude Nyagali ameelezea namna alivyotekwa mpaka kuokolewa. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Makao makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam Mdume amesema kuwa utekwaji wake unahusiana na siasa na kubainisha kuwa hana mpango wa kuhama Tanzania na wala haofii kifo. Aidha amesema anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri japo bado anaendelea kupata matibabu. Mdude alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa ofisini kwake Mbozi Mkoani Songwe Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019 na kupatikana usiku wa May 8 mwka huu. #MDUDE #CHADEMA /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 510