المدة الزمنية 25:7

BINTI HUYU AMLILIA MTOTO WAKE ADAI ALIPOKONYWA MTOTO NA MWAJIRI WAKE/ALIKUWA AKIFANYA KAZI ZA NDANI

بواسطة Geah Habibu
72 458 مشاهدة
0
602
تم نشره في 2021/01/20

Kutoka Kimara ndipo tukio hili linatokea ambapo binti huyu amenitafuta akiwa na bibi yake ambaye ametoka Mkoani ili kuja kumsaidia binti aweze kumpata mtoto wake.Binti huyu alikuwa akifanya kazi za ndani huku akiwa na mtoto wake wa miezi 6.Binti huyo anadai bosi wake alimfukuza baada ya kutuhumiwa kuiba simu akapelekwa polisi lakini baada ya kutoka alifukuzwa na muajiri wake na mtoto wake hakumpata tena...! Fwatilia tukio hili upate kujua kisa kizima #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 480