Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali akibubujikwa na machozi bungeni jijini Dodoma ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kumpokea pale muds wake wa ubunge utakapokwisha akisema amechoka kuendelea kutumika vibaya ndani ya chama chake cha sasa
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 151
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Mbunge Lijualikali Aangua Kilio Bungeni I Asema Amechoka Kutumika CHADEMA I Aomba Kujiunga CCM: