المدة الزمنية 11:20

MTOTO ALIYE-TREND KUTAJA MIRADI YA HAYATI MAGUFULI NA MARAIS 50 AONGEA “NIMEUMIA

بواسطة Millard Ayo
1 091 806 مشاهدة
0
4.1 K
تم نشره في 2021/03/26

Mtoto Baraka ambaye ametrend kwa kutaja maRais wa nchi hamsini,miradi aliyoitekeleza hayati Dkt John Magufuli pamoja na baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano amezungumzia kifo cha hayati Dkt Magufuli nakusema ameumia sana baada yakupata taarifa ya kifo chake.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 842