المدة الزمنية 12:6

JINSI YA KUKATA SOLO YA KUTOBOA KIURAHIS ZAIDI

بواسطة tecra fashion
21 599 مشاهدة
0
171
تم نشره في 2020/04/25

video hii inaonesha jinshi gani ya kukata solo ya kutoboa tafadhari kama hujasubscribe subscribe ili kila napoweka video mpya uweze kuitazama. pia kwa wale ambao ndo mnaanza kujifunza ushonaji bado hujajua vizuri kukata karibu wasap kwa mamba 0745170089 nitakufundisha mpaka utajua vizuri KARIBU SANA.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24
  • @
    @BertilaMagwina6 hours ago Nimekuelewa Ila hujatuonesha Cha juu nataman kujua Cha kukata Cha juu
  • @
    @christinarashid32044 months ago Asant kipenz umeelekeza vizr nimekuelew binafsi🙏
  • @
    @user-dt2pp5jz1tlast month Mbona wengine wanasema kanuni za solo toboa nachanganyikia kbsa
  • @
    @hassaniiyulu424210 months ago Unaelekeza vizuri sema hapaonekani unapoelekeza
  • @
    @user-gu6tw1yg2s5 months ago Nimependa kaz yako dada ila unatumia kitambaa kikubwa je brauz unashona kitambaa gani hapo asa
  • @
    @rehemamood50043 years ago Nice... laki video haionyeshi vitendo unaonekana wewee tuu
  • @
    @user-cr8hd2ow5v7 months ago Nimekuerew lakin sijakuerew Jin's ya kuunganish berit ya kiunon urivy kata nimekuerewa
  • @
    @charitydicksoni66493 years ago Dad naomba nisaidie jinsi ya kukata shati LA soro
  • @
    @julianayessaya10412 years ago Mbona wote mnatuonyesha za watoto,,wateja wengi ni watu wazima
  • @
    @shadrackkihombo6052 years ago Mbona hyo namba haiko watsap my dia
    Ninashida ya kujua kitu kupitia watsap
  • @
    @tumainimwaigomole73384 years ago Kama unataka iwe ndefu inakuweje hapo ikiwa urefu 46 inakuweje hapo
  • @
    @user-mp8ox7ij1k11 months ago Uko wapi dad maan unafundisha kwa umakini kama uko mwanza natak Nije unifunze
  • @
    @daudsamwel64964 years ago Umeonyesha vizur nmekuelewa sema tu kichwa cha habar umesema gaun la soro ya kutoboa Ila umeonyesha sket kwa gauni inkuwaje kukata vpimo vya juu? 2
  • @
    @mushihasani84354 years ago Unaptkn wap natmn uje unifundishe nyumbn me ni Mrs mushy ucshangae jina hapo lmetok mushy hassan ni mume wang huyo 2
  • @
    @charlotteuwase55064 years ago Video yako haionekani vizuli, rabdha ni tatizo la camera ya simu tu Hii kazi ya kufundisha kukata na kushona MILCASTYLISH NDO ANEONGOZA KWA KWELI APA YOU TUBE CHANNEL PAMOJA NA EMGO TAILORING VIDEO ZAO ZINAONEKANA VIZULI MUNGU AWABALIKI NYIE WOTE MUNAETUSAIDIA KUJIFUNZA ENDELEA NA WEWE UKIWEKA VIDEO NZULI TUTAKUA TUNAKUFUATIRIA KAMA TURIVYOMUFUATIRIA MILCASTYLISH DADA MDOGO MWENYE ROHO YA URUM 😘😘😘 ...