المدة الزمنية 6:35

MC MATUKIO: MWIGULU ASIMULIA ALIVYOPATA AJALI, GODZILLA AACHA SIMANZI, KESI YA WEMA YAIVA

بواسطة Mwananchi Digital
189 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2019/02/13

Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba amesema amepata ajali baada ya gari alilokuwa amepanda kugonga punda aliyekuwa akikatisha barabarani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 21, 2019 kumsomea Maelezo ya Awali msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani ametoa siku tano kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kumaliza changamoto ya umeme kwenye maeneo yanayokosa nishati hiyo jijini Dar es Salaaam #Mwigulu #Godzilla #Wema

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0