3cups of plain flour
1cup of cooking oil (sunflower oil)
1cup of icing sugar
1tspn of ground cardamom
1/2 tspn of salt
1tbsp of butter ghee
1 tspn of banana essence ( you can use vanilla if you prefer)
Food colour
Vikombe vitatu vya unga wa ngano
Kikombe kimoja cha sukari iliosagwa
Kikombe kimoja cha mafuta ya kupikia (sunflower oil)
Kijiko kimoja kikubwa cha samli
Kijiko kimoja kidogo cha hiliki ya unga
Arki ya banana kijjko kimoja kidogo(unaweza kutumia vannilla ukipenda)
Nusu kijiko kidogo cha chumvi
Rangi ya chakula
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 10
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Nangatai (Eid cookies):