المدة الزمنية 1:15:43

LIVE​​​​: MAZISHI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA, WANAODAIWA KUFIA UWANJANI WAKIMUAGA JPM..

بواسطة Global TV Online
77 495 مشاهدة
0
280
تم نشره في 2021/03/25

🔴#LIVE​​​​: MAZISHI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA, WANAODAIWA KUFIA UWANJANI WAKIMUAGA JPM.. SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa, iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli jana Jumapili Machi 21, 2021 katika Uwanja wa Uhuru. Miili ya watu hao inazikwa leo Machi 25, katika makaburi yaliyopo Kimara jijini Dar. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 54
  • @
    @janefrolakalinga5664منذ 3 سنوات Polen sn wapendwa ndug jamaa na rafiki wa inauma sn jaman du, M/Mungu awape nguv katika kipind hiki kigum mlichonacho, tuwaombee ndug zetu wapumzike salama.AMINA 3
  • @
    @elianamariasantos9665منذ 3 سنوات Que linda estás crianças todas arrumadinha que chic!!!Todos quietinhos que disciplina!!PARABÉNS!!! 1
  • @
    @seemaa130منذ 3 سنوات Deepest condolence Inna Lila waina Alaihum Rajeun we belong to God and will return back to him everyone will be tasted 3
  • @
    @nelsonmariki1981منذ 3 سنوات Poleni sana wapendwa wetu
    Mungu awatie nguvu
    4
  • @
    @aminamussa5122منذ 3 سنوات may them all and our president rest in heaven. 1
  • @
    @signaturewerber9399منذ 3 سنوات Poleni sana wapedwa, kweli inauma sana.Tuko pamoja katika kusali na kuomba. Mwenyezi Mungu awafariji na kuwapa nguvu Ktk kipindi hiki kigumu.
    Bwana Alitoa na tena ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe
    1
  • @
    @esthergerald6790منذ 3 سنوات Pole wafiwa wote,Mungu amtie nguvu na uvumilivu mgane na mtoto wake aliyebaki. 1
  • @
    @t4083منذ 3 سنوات Raha ya Milele uwape ehh bwana mwenyesi Mungu awasamehe makosa yenu na awatie nguvu familia yenu. 1
  • @
    @lydiachembe9376منذ 3 سنوات Polen sn mungu awazidishie uvumilivu,aman,na upendo 1
  • @
    @gloriamasaka7635منذ 3 سنوات poleni sana wapendwa huzuni kubwa sana MUNGU awafariji na huzuni ziweze kukunjuka MUNGU help tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. id="hidden3" class="buttons"> Mathayo 25 na ISaya 58 inatufundisha kujitayarisha kwa hukumu  tusilimbikize vitu tuwe wakarimu sana ....وسعت
  • @
    @consolatamedard6593منذ 3 سنوات Jaman mbona inaumiza Sana ii Mungu awatie nguvu wafiwa wote 3
  • @
    @zainabomar9139منذ 3 سنوات Polen sana kwamsiba uliowafika mwenyezi mungu awape subrah
  • @
    @nancyonduru3771منذ 3 سنوات Polenj sana kwa kupoteza wapendwa mungu awalaze roho zao mali pema peponi 1
  • @
    @xkingx8041منذ 3 سنوات Poleni saaana kabisa wapendwa!! Mungu awatie nguvu 1
  • @
    @aloycemasele7236منذ 3 سنوات Poleni Allan&Lily, Mbasa na Denic na familia kwa ujumla
  • @
    @theodoryfelix8582منذ 3 سنوات Hakika nimajonzi na huzuni mungu utupe amani na faraja yako
  • @
    @shanifesto9037منذ 3 سنوات Poleni sana jamani,,dahh so sad kwa kweli 2
  • @
    @emanuelmichael9784منذ 3 سنوات Poleni sana wapendwa Mungu awatie NGUVU jamani 1
  • @
    @godiusmushi1075منذ 3 سنوات Akuna mwanadamu anaweza kuwafariji namwomba mungu awafaiji kwa njia ya kipekee kwa roho mtakatifu awavushe kwa njia yeke mwenyewe ninawapa pole mno yesu pekee
  • @
    @Sppah697منذ 3 سنوات Mnakufa kwaa jili ya nini? Kufa kwa ajili ya Mungu na siyo binadamu!
  • @
    @victorialucas4476منذ 3 سنوات Pumzikeni kwa amani wapendwa, poleni familia 4
  • @
    @pendokazi8540منذ 3 سنوات Ngumu kumeza, MUNGU wape wepesi wafiwa 2
  • @
    @t4083منذ 3 سنوات Watanzania kwakweli tuko ktk wakati mgumu 1
  • @
    @siporajemes773منذ 3 سنوات Mmmh! Mama maic imekuvurunga kwl,!! kila mwanamke aliezaliwa na mwanadamu ck zake zakuishi sinyingi,da! Maic sio muchezo,wapeni bg,up wachungaji
  • @
    @sudaiskhan5232منذ 3 سنوات The polite shingle nomenclaturally telephone because thought significantly drown to a organic argentina. curious, dear emery
  • @
    @gloriamasaka7635منذ 3 سنوات poleni sana wapendwa huzuni kubwa sana MUNGU awafariji na huzuni ziweze kukunjuka MUNGU help tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. id="hidden7" class="buttons"> Mathayo 25 na ISaya 58 inatufundisha kujitayarisha kwa hukumu  tusilimbikize vitu tuwe wakarimu sana ....وسعت