المدة الزمنية 4:8

Magoli manne ya Bernard Morrison tangu ajiunge Yanga Desemba 2019

بواسطة Azam TV
323 314 مشاهدة
0
721
تم نشره في 2020/05/20

Alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, lakini hadi sasa ameshaifungia timu hiyo mabao manne. Alianza tarehe 26/01/2020 katika mchezo wa #ASFC dhidi ya Tanzania Prisons. Tarehe 05/02/2020 akaifunga Lipuli FC katika mchezo wa #VPL. Tarehe 11/02/2020 akafunga tena dhidi ya Mbeya City mchezo wa #VPL. Lakini tarehe 08/03/2020 ndiyo ikawa mwisho wa habari zote pale Taifa, bila shaka unajua aliwatandika akina nani. Nyota huyu raia wa Ghana, leo ametimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa, akishereheke siku yake ya kuzaliwa. Tumekuwekea hapa magoli yake yote manne aliyofunga akiwa na Yanga, ambapo mawili yametokana na assist za Juma Abdul. Sasa kama hauna hauna tatizo naye, kiroho safi, sema HAPPY BIRTHDAY BERNARD MORRISON Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 31