المدة الزمنية 5:27

Viazi vya karai | Jinsi ya kupika viazi vya karai tamu sana nyumbani | Spicy fried potatoes

بواسطة Mapishi rahisi
84 679 مشاهدة
0
1.7 K
تم نشره في 2020/06/06

Mapishi ya viazi karai / Viazi vya madonge MAHITAJI: viazi 10 maji vikombe vinne chumvi kiasi Unga wa ngano kikombe 1 Unga wa dengu 1/2 kikombe chumvi kiasi rangi ya chakula ya orange maji kikombe 1 na 1/4 Masala kijiko 1 kidogo Chumvi kijiko kimoja kasorobo Juice ya ndimu kiasi mafuta ya kukaangia

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 107