المدة الزمنية 10:41

NJIA 9 ZA MAFANIKIO TOKA KWA MAGUFULI

22 853 مشاهدة
0
331
تم نشره في 2021/03/22

MAMBO 8 YA MAFANIKIO YA KUJIFUNZA TOKA KWA DR. JOHN POMBE MAGUFULI 1. FANYA KAZI YAKO KATIKA UBORA WA HALI YA JUU 2. KUWA NA MISIMAMO NA KUAMINI UNACHOKIFANYA 3. FANYA KAZI KUVUKA MATARAJIO YA WATU 4. ZUNGUKWA NA WATU SAHIHI 4. FANYA KAZI KWA KUANGALIA MIAKA YA BAADAYE (LONGTERM GOALS) 5. USITOSHEKE NA MAFANIKIO ULIYONAYO 6. PENDA KAZI YAKO 7. KUWA NA MAONO YA MBALI 8. KAMWE USIKATE TAMAA . Imeandikwa na Said Kasege - 0766862579 Imesomwa na kutengenezwa na Ezden Jumanne - 0759191076 #Jifunze #Kwa #Magufuli

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 40
  • @
    @alexandermluge7886منذ 3 سنوات Asante sana Ezden Jumanne kwa maarifa ya bure. 1
  • @
    @yahyashaaban1881منذ 3 سنوات Shukran kaka ezden kwa somo zuri la kutia faraja 1
  • @
    @goldprocessplant5893منذ 3 سنوات nilitegemea hichi kitu kutoka kwa motivate speaker ahsante sana kaka ezden
  • @
    @dynam1488منذ 3 سنوات Nashukuru sana kaka ujumbe nzuri sana,nimejivunza kitu kikubwa sana, Allah akujalie afya njema
  • @
    @khadijasaidi911منذ 3 سنوات Asante bro Ezden Jumanne kwa Makara hii
  • @
    @khadijakhamis5604منذ 3 سنوات Mimi unanipa nguvu kubwa saana ninapo sikiliza voice zako mungu akubaliki hiyo ni sadaka kubwa saana kuliko mtu kumpa pesa ni nzuri kumpa marifa,, baraka llahu fikum
  • @
    @mwashighadijames3018منذ 3 سنوات Mafunzo mazuri Naendelea kujifunxa na kubadilika kila kuchao,thanks
  • @
    @husnatanzanian9155منذ 2 سنوات Al hakam kumbukumbu mwaka wakwaza kufanya kazi inje ya nchi yangu ya Tanzania 10 2015 nakumbukumbu ya kifo chake 17 3 2021 mwenzimngu amulaze mahali pema mpeponi amini 10 2015 1
  • @
    @khadijakhamis5604منذ 3 سنوات Katka watu wanajuwa kufundisha mwalim mzuri ni Ezedn jumanne mwenyezi mungu akuzidishie ujasili na elim zaidi wewe una kipaji ni mwana psychology mzuri saana uko vizuri saana
  • @
    @hajihemedi5189منذ 3 سنوات stay blessed my brother for nice MAKARA 1
  • @
    @hassanovajunior6972منذ 3 سنوات He was a true patriot and strong leader Rest in paradise JPM 1
  • @
    @lotionetv2833منذ 3 سنوات Ezden. Ahsante kwa hamasa hii hasa ndani ya mifano hai. Tutaendelea kujifunza umu vizazi na vizazi. Historia ndio hii sasa. Amani kwako kaka.
  • @
    @sharonyclement9457منذ 2 سنوات Muandishi umetisha kingine alisemaga maendeleo hayana miujiza nakubali sana muandishi umetisha
  • @
    @mwakalukwafredy3720منذ 3 سنوات Nina kushukuru sana kaka yangu Edzen Jumanne kwa maarifa haya makubwa hakika umepanda mbegu kwangu leo 2
  • @
    @maikojoseph1115منذ 3 سنوات Kweli alikuwa jembe wetu hakika nitamukumbuka daima
  • @
    @samohazakwani6899منذ 3 سنوات Assalaam alaykum. Salaam za pole kwa Watanzania wote. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Ni mfano mzuri wa kuiga. Mi nimependa neno lake muhimu alikuwa akilipenda id="hidden4" class="buttons"> sana kulisema, kwangu mimi nimeliona ni jambo la kwanza. Msemo wake maarufu:
    "Tumtangulize Mungu mbele"
    Au tumuweke Mungu mbele.
    Hakika hili ndio ufunguo wa mafanikio kwa kila jambo, pamoja na jitihada na kumdhania Mola mazuri ya kuwa Mola ataniwezesha na atanifanikisha. Shkrn brother.
    ....وسعت
  • @
    @asmovctv8657قبل 11 أشهر Tunashukuru gavana wa Jimbo kwa kujali jambo tulilo muomba KUPITIYA SAUTI YA WANYONGE kwakujibu mambo , ya barabara nakutiya tracteur ndani ya barabara hilli, kwa PAMOJA Masisi ita Pata utetezai wake nakufikiya Maendeleo.
  • @
    @alphoncemahinyila8043العام الماضي ✓Fanya kazi katika ubira wa Hali ya juu sana
    ✓Kuwa namsimamomo na kuamini unachokifanya
    ✓fuka matalajio ya watu wale wano kutazama unakuwa ,, unstoppable kushitikiza na ufatikia mwanzo Hadi umaauti unapo kujia
    ✓zungukwa na watu sahihi
    ✓leta watu wengine
    ✓long team goals
    .
    ...وسعت
  • @
    @samohazakwani6899منذ 3 سنوات Assalaam alaykum. Salaam za pole kwa Watanzania wote. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Ni mfano mzuri wa kuiga. Mi nimependa neno lake muhimu alikuwa akilipenda id="hidden10" class="buttons"> sana kulisema, kwangu mimi nimeliona ni jambo la kwanza. Msemo wake maarufu:
    "Tumtangulize Mungu mbele"
    Au tumuweke Mungu mbele.
    Hakika hili ndio ufunguo wa mafanikio kwa kila jambo, pamoja na jitihada na kumdhania Mola mazuri ya kuwa Mola ataniwezesha na atanifanikisha. Shkrn brother.
    ....وسعت
  • @
    @alphoncemahinyila8043العام الماضي ✓Fanya kazi katika ubira wa Hali ya juu sana
    ✓Kuwa namsimamomo na kuamini unachokifanya
    ✓fuka matalajio ya watu wale wano kutazama unakuwa ,, unstoppable kushitikiza na ufatikia mwanzo Hadi umaauti unapo kujia
    ✓zungukwa na watu sahihi
    ✓leta watu wengine
    ✓long team goals
    .
    ...وسعت