#HENRYRIMISHO #ARU #MWANAHALISITV
Mwishoni mwa wiki iliyopita kulifanyika mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) jijini Dar es Salaam.Miongoni mwa wahitimu katika mahafali hayo ni Padre wa Kanisa Katoliki, Henry Rimisho alihitimu shahada ya uzamivu (PhD).
MwanaHALISI TV limefanya mahojiano na Padre Rimisho na kuzungumzia njisi alivyopelekwa nchini Cuba, Kenya, Sudan na mavazi ya kijensi alikoyapata.
Amegusia mchezo wa Simba na Yanga wa 11 Desemba 2021.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com