@queenanita2776منذ 4 سنواتThis move is my favorite one I love it so much ❤❤❤ 4
@
@michaelmbatayaanikanumbani6066منذ 4 سنواتKama una angalia hii mover uku unapitia coment kama mimi gonga lenk yako hapa 42
@
@user-mm5tf7yn6pمنذ 4 سنواتNzuri saana mpaka le 6/5/2020tuko tunaiona 7
@
@hirathsanayaniyusif6457منذ 6 سنواتWabong mnapend sana kukaa uchi shenz zenu 8
@
@ashamohamed3164منذ 2 سنواتWales u are so handsome. Nimekupenda
@
@marygorret.nansie.9074منذ 6 سنواتGive us part two guys yani ltz amazing 2
@
@youngmwema5266منذ 5 سنواتMovie nzur ila sio kwa kumbeba hvyo mwenzenu mlyemuokota 4
@
@saibusprinah9979منذ 5 سنواتI really love it,,,big up guys lkn uyo baba,.. 2
@
@shamimomar5745منذ 6 سنواتIko wapi part siku nyingne msifanye ivi mnaleta movie mzima nmebaki kwa njia panda movie mzuri 1
@
@montezelmuhsin9010منذ 3 سنواتUyo dem wa kupiga pc mweny anapend kuvaa miwan ya red anajiskia sana I say anyway congrats guys
@
@jamilahjuma3552منذ 4 سنواتMovie nzuri na ubunifu wa kipekee, big up
@
@daynamwatija7305منذ 3 سنواتJaman Dada mpiga picha ni anasura mbaya hatar
@
@gracelaulant3518منذ 4 سنواتMapoz yapicha sasa kama katuni wa maonyesho 1
@
@jumaaomarijumaa2331منذ 5 سنواتshida ya matukio ya movie hayana mtiririko unaoeleweka hata kidogo 1
@
@lucyibrahimu7774منذ 6 سنواتMsiwe mnarusha part moja kama pili haijakamilika n ushaur tyu coz mnakatisha mccmko 1
@
@naomibenjamini2088منذ 5 سنواتnilijuatu japo sijajua aina gani ya kemikali tangu lini mtu unashika kemikali karibu na uso tena unajigusagusa 1
@
@mummysfavourite3384منذ 5 سنواتbig up Ramadhan.halafu huyu naye aliona wapi mtu achanganya kemikali kwa mikono mitupu halafu anashika macho 1
@
@zainabmaulidi3771منذ 6 سنواتKabla sijaangalia inasaut kwanza maan nyie wabong mnawekag filam bila saut 9
@
@manniermkambe6184منذ 4 سنواتMovie nzr sana zaman walkuwa wanaact vzr bt nowadays most of the movies so boring n annoying 1
@
@hawaynatimam982منذ 5 سنواتNajiuliza huko porini Farida nguo kapata wap
@
@ukhtysakinaa7664منذ 6 سنواتMovie tamu pongezi kwa wahusika iko sawa part 2 plz 2
@
@hawaynatimam982منذ 5 سنواتInavyoelekea Wales na Farida mtu na kakaake, Lakin wanakukulana
@
@avitusprince9079منذ 5 سنواتVizr parcho mwambaa muvi nzr coz muwe mnatumia kiswahili sisi wabongo saw ushauri wa bure na uyo Dada ambaye anadisia mwanzo wa muvi nilikua naye Leo kwake id="hidden1" class="buttons"> mungu _awabarik_sana ....وسعت2
@
@sylviachonge4165منذ 5 سنواتI love the background music.., whats the name of the song/artsiste.. wolper my best actress 3
@
@hajrarkuziwa730منذ 5 سنواتSs maji yenyewe ya kuogelea mbona machafu ivyo
@
@mrsmartgamingyt594منذ 6 سنواتwhere is part 2 amakweli bongo movie soko imeyumba we need part 2 film nzuri ila no sehem ya pili kwanini jamani 1
@
@lovjoyclaris1259منذ 6 سنواتsipendi kuangalia filamu nusa nusu nasbiri hadi nione part 2 ndio niangalie 9
@
@user-qm2fw8pu4hمنذ 6 سنواتWeee mtt unakaa kfua wazi unatft nn kwa dady 2
@
@simonmoikhan357منذ 6 سنواتKwanini mnatumia kiingereza kwenye muvi ya kiswahili ,ongeeni kiswahili 7
@
@esthermbilinyi9417منذ 6 سنواتwa bongo bwana wana kingereza cha kuunga mnaharibu movie kwani mkiongea kiswahili tu kuna nn??? 7
@
@kimachoking6617منذ 5 سنواتHuyu naye na mapozi yake ya kupiga picha duh 2
@
@khairatyhassan9494منذ 5 سنواتMmmh neno moja kiingereza kumi kiswahili hatari
@
@rodgersmarcus6579منذ 5 سنواتhuo mziki niwakishamba afu sauti haipo lugha pia haijazingatiwa 1
@
@aldshaghalamamahsbshshddhc244منذ 4 سنواتWales sinikampendga ss mpk leo njo whtp tufahamian 9689267993
@
@salijoreotz7827منذ 5 سنوات why u guys use English while u don’t know how to speak it.Ongeyeni swahili siyo munaongea broken English u guys doesn’t make sense 2
@
@user-bo9yk6tc3cمنذ 4 سنواتSiwezi kuwa Mzalendo kama kitu ni kibaya, huo utakuwa siyo Uzalendo, ni unafiki. Kusema ukweli hii movie ni mbaya, kuanzia utunzi mpaka ujumbe. Visa havihusiani id="hidden2" class="buttons"> kabisa na utoto mwingi. Ukiona mtu anaisapoti hii movie, ujue huyo ni sehemu ya movie au anamfahamu muigizaji mmojawapo. Msituletee utoto kama huu. ....وسعت1
@
@bijumakassim3697منذ 6 سنواتNisiwe mchoyo wa fadhila shukran kwenu yote mulio husika mume weza 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Determination Part 1 - Jacklin Wolper, Patcho Mwamba (Official Bongo Movie):
Msituletee utoto kama huu. ....وسعت 1