المدة الزمنية 19:23

PATANISHO - ALITUMA FARE LAKINI HAIKUTOSHA

بواسطة Radio Jambo KENYA
37 928 مشاهدة
0
354
تم نشره في 2021/05/26

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika #RadioJamboKenya Subscribe to RadioJambo Youtube - https://bit.ly/39wwc6u Mitandao ya Kijamii Instagram - https://rb.gy/e154d1 Facebook - https://rb.gy/09d1b9 Twitter - https://rb.gy/e23220

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 246
  • @
    @miumanchannel197منذ 3 سنوات Huyo jamaa dryspell iko juu sana na anatafta maid sio bb ati hapa kazi anafaa akue na bb 11
  • @
    @annmwariri8119منذ 3 سنوات And that's why am proudly kikuyu now what's this surely??? 25
  • @
    @kennedykipronoh2942منذ 3 سنوات Bwana Kenneth ako na pressure ya kuoa sana..lazima umri wake umesonga na amekaziwa kuoa 14
  • @
    @jackmuendo2157منذ 3 سنوات Boy Child apewe aki yake,, gonga like tukisonga 8
  • @
    @Abel_Onyanchaمنذ 3 سنوات Huyu jamaa ni kubafu.1k tu unaangaisha hapa msichana wa wenyewe ka gari ya miraa!na ungekuwa umetoa airfare kungekuwa aje?????desperation and utotology combined. 21
  • @
    @salomeonywoki2628منذ 3 سنوات namba 4 since patanisho leo ndio nimeview mapema likes zikam,, Kennedy ajielewi kabisa 4
  • @
    @EDDY5918منذ 3 سنوات Patanisho kabla ya kupatana. Hii kali
    Mwenye pupa haadiriki kula mbivu
  • @
    @salomeomashibo1971منذ 3 سنوات Mzee mwenyewe Ako na kihere here kama mukataji wa nyama duu hatari kwa usalama. Amelemewa na nyege. ww lidia ambia yy akuje home kwanza ndio uwende kwake wacha kubebwa kama kunia ya maka gidi hoyeeee 5
  • @
    @annemarcyannemarcy1574منذ 3 سنوات Lydia usiende wacha akunje kwenu kwanza huyu anataka uende akule mali thao yake isipotelee hehee 5
  • @
    @kanakekareko7725منذ 3 سنوات Lydia enda ubomorewe jamaa anakuhitaji mum 8
  • @
    @media1international279منذ 3 سنوات Hii ndoa itakuwa ya machozi! Dalili ya mvua ni mawingu. 8
  • @
    @theresiakawinzi739منذ 3 سنوات Wote wako na ushezi.mbona mdemu akusema fare haitoshi? 3
  • @
    @essiewajojis7918منذ 3 سنوات Wat huyu jamaa ako na utoto sana how comes unaita mtu bibi yako na humjui hehehehe 6
  • @
    @beryl804العام الماضي Kwanza, he said " huyu mtu akuje". Pressure awache
  • @
    @graciendungu3073منذ 3 سنوات Wah hii ni tricky Sana, huyu mtu ni mkora aki 6
  • @
    @lastbornnyashمنذ 3 سنوات Hii ya Leo nayo sioni, yaani watu hawajuani alfu washaanza patanisho.. Je wakioana kutakua vipi jamani 10
  • @
    @liliankemunto3124منذ 3 سنوات Hyu mtu n mzee sana, kuna mtu anampressure aoe 2
  • @
    @mboneclaire8796منذ 3 سنوات fare ilikulwa akapiga radio jambo haha 1
  • @
    @nellymberia3517منذ 3 سنوات Mimi naeza ogopa kujikuta kiruguya morgue,alafu jamaa akona kiherehere kama wale con wa safari com 1
  • @
    @herinahellen9862منذ 2 سنوات When someone who lies in the first instance that's a Red Flag!!!
  • @
    @annaheggidy7858منذ 3 سنوات Gost where are you my friend hii patanisho ingefaa Sana na Ile cheko yako 1
  • @
    @bettiejoy-mtotowamamaالعام الماضي Hizo pesa alituma zinamuuma sana, huyo kuishi nae shinda tupu
  • @
    @anastaciamalachi7552منذ 3 سنوات Tuma 5000 Sahii akuje kesho nikutumie number 3
  • @
    @fayetteville6310منذ 3 سنوات Gidi anaonaga mambo mengi hapa patanishoEti mum! Wueeeh mnitumie iyo izo elfu mbili nikule pia! 1
  • @
    @marymarrin6877منذ 3 سنوات sasa hawa wameaza kujibishana sai na hawajamet 3
  • @
    @linetnekesa8019منذ 3 سنوات Hyo n walikula pesa tuma tena akule navile life n hard nlini wanaume mtaerevuka
  • @
    @annaauyo1958منذ 3 سنوات Ooh my! Ooh my!. Kenneth.aki he's desperate wooi .Lidya hiyo fare fungulia business mum.nimeskia ukiitwa mum 5
  • @
    @Ema3229منذ 3 سنوات Lydia be careful huyu jamaa hapana ni gutee 1
  • @
    @catherineaseka7781منذ 3 سنوات ningekua mm singeolewa na huyu jamaa cox hata kuelewa kwake ni vigumu sana. sasa kwa ndoa ndo ataelewa . 2
  • @
    @esthermugure5676منذ 3 سنوات Aaaii mbona yy asiende kwanza aone dem kwenye ako 1
  • @
    @sefaniamutonga7616منذ 3 سنوات Dada think twice kabura ujaenda kwa jamaa umujui 1
  • @
    @op-goldenمنذ 3 سنوات Hii ni ujiga ya hali ya juu,hii ndio kuoa sasa
  • @
    @kenyanniggar357منذ 3 سنوات fare iko hapa ya kukula,madem changamkeni 1
  • @
    @lucynjoki8059منذ 3 سنوات Elefu moja itatoa m2 Eld imfikishe Embu kweli vane?
  • @
    @teedullah5708منذ 3 سنوات Gidy usikubali huyo msichana aende kwa huyo mtu
  • @
    @chichimwariwawanyoike4872منذ 3 سنوات Huyo jamaa ni shida tupu dem akue makini sana mm siwezi kuchukuliwa ivo kaa mayai moto never
  • @
    @essiewajojis7918منذ 3 سنوات Mila na desturi ifutwe unachukuwa aje mtoto wa watu kama hana kwao alaaaa enda kwa wazazi wao na uitishwe dowary huyu sio wa loan kwenda 8
  • @
    @jairusomari1459منذ 3 سنوات Eeeeeeee..wewe.mwanaume.hamujaowana..na.unateta.panganga.mingi.dada.yangu.jichungwe.hii.ni.2021..mwambiye.akuje.kwenyu.simu.zina.maneno.lakini.huyo.mwanaume.kweli.ako.na.shida..kidogo..
  • @
    @jeyshillyjack4470منذ 3 سنوات Gai ,Kwani shemeji yako anakupeana Ka kuku ,wah.
  • @
    @felichemagriventures653منذ 3 سنوات Wee kula hio fare mamaa,, usijipeleke kumeet stranger .Wacha akuje mwenyewe 7
  • @
    @pherozkissaro9762منذ 3 سنوات Sister ucikubali kwenda kwa huyo Mzaye is not stable tell hem to give you 10,000 ksh 2 way fair 2
  • @
    @jairusomari1459منذ 3 سنوات Wewe.mrembo.jichunge.hapo.kuna.shida..lazima.ufikiriye.mara.2..wacha.akuje.kwenyu 1
  • @
    @reecemwongeli2698منذ 3 سنوات Mbona huyu mtu ni ngumu kuenda huko kwa kina msichanaatume fare ikulwe tena 1
  • @
    @kefamakori6745منذ 3 سنوات Uuuuuiiiiii hii ni gani Gidi toka hapo
  • @
    @fathiyafaki9072منذ 3 سنوات Huu ni msiba hakuna muoaji hapo Lydia kanyaga kubwa ukienda, pesa yenyewe ni 1k 4
  • @
    @miumanchannel197منذ 3 سنوات Gidi huyo jamaa ako na moto sana na iyo si sign poa ye hata si love ako nayo ni nyege na ameona ashapata mtu wakutoa kutu kwake so huyo mdem pia akue wise id="hidden4" class="buttons"> ikiweza arudishe doo ya huyo jamaa ju hapo hakuna ndoa.jamaa mwenyewe ana sound chizi freshy ....وسعت
  • @
    @jojojoy1447منذ 3 سنوات Hii NgO'mbe ya mwanaume ya wapinataka bb
  • @
    @susankomu8978منذ 3 سنوات Upuzi Gani hiii??huyu mwanaume athink twice 1