المدة الزمنية 1:33:1

SOMO LA 12: Siku ya BWANA | | Mch.Petro Mganda

بواسطة Mwenge SDA Church
141 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/07/15

NJIA YA KUELEKEA MAISHA YENYE FURAHA- Karibu kufuatilia mahubiri haya yanayoratibiwa na huduma za wanawake kanisa la Wadventista wa sabato Mwenge Kuanzia Tarehe 4 - 25 Julai 2020, Saa 12:00 - 1:00 Jioni. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mbashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi. Mungu akubariki!

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0