المدة الزمنية 20:22

LIVE​​​​​​​​​​: DK Msonde wa Necta akitangaza matokeo ya darasa la saba

بواسطة Mwananchi Digital
28 234 مشاهدة
0
65
تم نشره في 2021/10/30

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi 30, Oktoba 2021 limetangaza matokeo ya darasa la saba huku mtahiniwa Eluleki Evaristo Haule amepata alama nyingi zaidi kuliko wenzake. Akitangaza matokeo hayo leo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles Msonde ametawa watahiniwa kumi bora kitaifa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 20