المدة الزمنية 1:7:28

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNNING - GLORY THE SCHOOL OF HEALING 22/ 12 / 2021

4 168 مشاهدة
0
84
تم نشره في 2021/12/22

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 22/ 12 / 2021 UJUMBE WEA LEO: TUTAVUKA SALAMA MAMBO YA KUSHUGHULIKIA ILI TUVUKE SALAMA "GILBOA - MAUTI YA KIFAMILIA 1 Samweli 31 : 1 - 6 Zaburi 18 : 4 - 6 1 Samweli 31 : 1 - 6 1 Basi Wafilisti wakapigana na Israeli; nao watu wa Israeli wakakimbia mbele ya Wafilisti, wakaanguka wameuawa katika mlima wa Gilboa. 2 Wafilisti wakamfuatia sana Sauli na wanawe, Wafilisti wakawaua Yonathani, na Abinadabu, na Malkishua, wana wa Sauli. 3 Tena vita vilikuwa vikali sana juu ya Sauli, na wapiga upinde wakampata; hata akafadhaika sana kwa sababu ya wapiga upinde. 4 Ndipo Sauli akamwambia yule mchukua silaha zake, Futa upanga wako, unichome nao; wasije watu hawa wasiotahiriwa wakanichoma, na kunisimanga. Lakini huyo mchukua silaha zake akakataa; kwa sababu aliogopa sana. Basi Sauli akautwaa upanga wake, akauangukia. 5 Na mchukua silaha zake alipoona ya kuwa Sauli amekufa, yeye naye akauangukia upanga wake, akafa pamoja naye. 6 Hivyo Sauli akafa, na wanawe watatu, na mchukua silaha zake, na watu wake wote pamoja siku iyo hiyo. Zaburi 18 : 4 - 6 4 Kamba za mauti zilinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu. 5 Kamba za kuzimu zilinizunguka, Mitego ya mauti ikanikabili. 6 Katika shida yangu nalimwita Bwana, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake. Mhubiri : Gadeilson Mfinanga Kwa maombi na ushauri: Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 36