المدة الزمنية 54:11

LIVE: HABARI AZAM TV SAA MBILI USIKU -

بواسطة Azam TV
4 173 مشاهدة
0
46
تم نشره في 2020/06/17

Machache kati ya mengi utakayoyasikia katika taarifa yetu ya habari ni pamoja na; Watu 11 CHADEMA kuchuana kuwania nafasi ya kupeperusha bendera ya urais, Mbowe Yumo. Rais Magufuli achukua fomu kutetea kiti chake, nako Zanzibar watia nia wa CCM wafikia watano. Serikali yatangaza ratiba za mitihani shule zitakapofunguliwa Juni 29, walimu na wanafunzi wakaa mguu sawa Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2