المدة الزمنية 59:40

Mpya SIMULIZI YA MAPENZI: NINA IMANI YATAKWISHA 1 season I BY D'OEN

بواسطة Simulizi Mix
16 933 مشاهدة
0
209
تم نشره في 2021/11/06

Jamaa yupo yeye na mama ake tu kijijini, maisha magumu, demu wake anamkataa mchana kweupe na kuchana laivu kua tatizo ni umaskini wake, Demu anatorokea dar shuga dadi, mshkaji anaibukia dar baada ya kubebwa na binti mmoja wadar ambae maisha mazuri, wanafika anamtaka mshkaji kimapenzi, jamaa anakaza anaamua kutoroka, anapata zali kazi kwa mdingi mmoja hivi maisha safi pesa ipo, jamaa ana haso mzee anamuelewa anaanza kumpandisha ngazi jamaa nyota inaanza kung'aa,,, madem kila kona wanampa shida afu jamaa hizo mambo hamind wala nini, matusi na dharau zote kisa umaskini wake ANAAMINI SIKU MOJA YATAKWISHA,, jamaa anakaza , kazi kazi, wadada shobo kama zote basi stori inanoga balaa,, yani inakupa burudani fulani hivi isiyoumiza kichwa,, yani hauna cha kufikiria wala kujiuliza ni kusikiliza na kuburudika, unaanzaje kukosa hii? Cheza na SmixApp mpaka mwisho kisima cha BURUGUDANI, USIONDOKE twende, ukikwama jinsi ya kulipia tucheki whatsapp au tupigie 0677062012 tukupe msaada na maelekezo. Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa /simulizifupi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 64