المدة الزمنية 14:30

BBC BIASHARA BOMBA: 'Mitumba na Biashara ya Nguo'

بواسطة BBC News Swahili
5 265 مشاهدة
0
20
تم نشره في 2019/05/30

Mitumba, mitumba, mitumba, ndio neno ambalo wafanyabiashara wengi wa nguo Afrika Mashariki wanalizungumzia ama kwa uzuri ama kwa ubaya. Nchi za jumuia ya Afrika Mashariki zimenuia kuzuia uingizwaji wa mitumba kwa lengo la kuimarisha viwanda vya ndani, jambo hili linapingwa na wafanyabiashara wa nguo hizo, huku likiungwa mkono na wale wanaouza nguo zisizo za mitumba. David Nkya na Tulanana Bohela wana taarifa zaidi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2