المدة الزمنية 29:38

SOMO3-1: Nafasi ya hekima na maarifa katika vita vya kiroho - Mchungaji Carlos Kirimbai

بواسطة Carlos Kirimbai
6 372 مشاهدة
0
62
تم نشره في 2018/07/18

Karibu kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11