المدة الزمنية 2200

Mashine za mafuta ya taa | umeme za kutotoleshea vifaranga

بواسطة Aswege Kaminyoge
316 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/09/09

```Mjasiriamali ni mtu wa aina gani? (Sifa za Mjasiriamali)``` 🟠Ni mtu ambaye anaanzisha na kumiliki biashara 🟠Ni mtu ambaye yupo tayari kuthubutu 🟠 Ni mtu ambaye ni mbunifu 🟠 Ni mtu jasiri asiyeogopa kushindwa 🟠Ni mtu ambaye kila siku anatafuta njia mpya za kuzalisha na kuleta mabadiriko mapya 🟠Ni mtu mvumilivu 🟠Ni kiongozi 🟠 Ni mshindani asiyekata tamaa 🟠Ni mtu ambaye anapenda kuwajibika na anafanya kazi kwa bidii🟠Ni mtu anayetazama maisha ya mbele 🟠Ni mtu ambaye anaweza kubadirisha na kutumia nafasi kama fursa. 🟠Ni mtu ambaye anahitaji na anahamu ya kupata mafanikio 🟠Ni mtu ambaye anaweza kujitegemea. ```Uko hivo au uko mbali anza Sasa uwe hivo```

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0