المدة الزمنية 5:58

WAZIRI LUKUVI HATAKI MCHEZO, AFUTA HATI MBILI ZA VIGOGO

بواسطة Millard Ayo
23 486 مشاهدة
0
119
تم نشره في 2021/03/04

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta hati mbili za viwanja namba 153 na 154 Mkoani Mwanza vilivyokua vikimilikiwa na Abdulkareem Baga na Abdallah Mukhusin Malik ikielezwa kwamba havijalipiwa kodi ya ardhi kwa miaka 15 tangu wapatiwe umiliki. "Kila Mtu tunaemmilikisha hati Nchi hii sharti la kwanza la kuzingatia ni ulipaji wa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, Huyu Malik ukiacha kwamba haonekani kwa sura hatumfahamu, hajalipa kodi kwa miaka 15 na bado hati ipo kwenye Masjala ya hati za Wizara ya Ardhi”

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 45