المدة الزمنية 2:52

TANZIA Shabiki mkubwa wa mbio za magari Dismas Joseph 'J4', afariki dunia

بواسطة Azam TV
1 086 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2020/04/08

Shabiki na mpenzi mkubwa wa mbio za magari Tanzania, Dismas Joseph maarafu kama J4 amefariki dunia leo mkoani Mtwara kwa ajali ya pikipiki. Michael Maluwe anaeza ukubwa wa shabiki huyu kwenye mchezo huo huku akikumbushia mambo na maneno yake mbalimbali enzi za uhai wake. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4