Please watch: "SIRI HII YA UFANYAJI WA MATANGAZO INSTAGRAM HAUTAAMBIWA"
/watch/AkAm4eQykrvym --~--
Unafanya mauzo mabovu kwenye biashara yako kiasi kwamba unataka kukata tamaa?
Angalia somo hili litakusaidia kujua chanzo chake ni nini na nini ambacho unatakiwa kurekebisha ili mauzo yarudi kuwa mazuri.
#biasharanaujasiriamali #biasharamtandaoni #ongezamauzo