المدة الزمنية 6:36

BWANA NI MFALME

بواسطة ShukuruMungu Media
1 012 مشاهدة
0
14
تم نشره في 2021/11/21

Kristo Yesu Ni Mfalme, Mwokozi na Mkombozi wa Ulimwengu Wote! Kristo Yesu ni Mfalme na Mchungaji mwema wa wanadamu wote kwa maisha ya sasa hapa duniani na maisha yajayo mbinguni baada ya kufa; kwani Yeye ndiye Mfalme, hakimu na Mwokozi wetu. Kumbe iwe tu hai au tumekufa, kama anavyotuambia Mt. Paulo tu mali yake Kristo. Kumbe tunapoadhimisha sherehe hii tunapaswa kujiuliza kama kweli maisha yetu yanaakisi utawala huu!

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5