المدة الزمنية 8:33

FANYIA KAZI NDOTO ZAKO 2022/WORK ON YOUR DREAMS 2022

بواسطة G Online
1 277 مشاهدة
0
33
تم نشره في 2021/12/03

Nahitaji wewe ufikirie kuhusu ndoto yako, ile ndoto kubwa ya maisha yako.Watu ambao wana ndoto, na wale watu ambao wanandoto kubwa wana aina ya maisha tofauti na watu ambao hawana ndoto. MSHINDI ni mwenye ndoto ambaye hakati tamaa. NDOTO uhitaji kujitoa sadaka, kama mji wangu ni wa gharama hama, matumizi ya gari yangu ni makubwa, uza gari yako na utumie basi.Hizi ni ndoto tunazozungumzia hapa, tunazungumza kuhusu ndoto. Whether uoga au kutojiamini chochote kitakacho kuwa, naamini kuwa kila mtu mmoja ambao utoka nje na kuhangaikia ndoto zao.Wanakuwa na hizo sauti kwenye vichwa vyao, nafikiri hio ni sehemu ya human experience. Anza kufanyia kazi ndoto zako kuwa kweli, na aanza kuchukua hatua kufikia uhalisia. Stay strong, have faith na endelea kusukuma zaidi nishawahi sema hili kabla na nina ishi kwenye ushahidi huo kuwa kwa upande wengine wa kuhangaika kwako ni kitu kizuri na kwa upande mwingine wa kuhangaika kwako in sehemu ya mafanikio. Kwanini unapoteza hata sekunde yako moja, kwa kufanya kitu ambacho hakiendelezi ndoto yako? Fuata hiki kinachoitwa maisha na usiangalie nyuma na kuwa na majuto. Elewa kuwa upo sehemu na nafasi muda huu pindi unapofanya kazi kwa bidii na kuthamini watu, hakuna nitakachokuzuia nakuahidi. Ndoto zako zitakufanya kuwa insane, kwasababu unachotaka kitakusumbua kila siku. Unatakiwa kuchukua kila nafasi ninayokuja mbele yako. Haijalishi nini kinatokea hautokata tamaa.Kwasababu kukata tamaa si chaguo.Kwasababu wewe UNA SABABU, UNA KUSUDIO, UNA MAPENZI NA UNACHOFANYAZI. Kile unachotaka kipo, usikae mbaka ukipate. Unahitaji kukosea ili kuwa chachu kwako. Unahitaji kuanza kujisikia mkosaje pindi unapokuwa ufanikishi au kufika kwenye ndoto zako. Unaweza kutumia mashaka ya watu juu yako.Ndoto yako kama ushawishi pindi ndoto yako ipokufa, na pindi unapokuwa hauna hata nguvu ya kuendelea nitahitaji uache kuhairisha mambo, itahitaji uachilie vizuizi vyako vyote. Kwahiyo nipo hapa nikwambia kuwa UNAWEZA.Unaweza kupata chochote unachokitaka, kuwa yoyote unayetaka. Lakini lazima ufanye kazi kwa bidi. Unajua ndoto, hamu ya mafanikio sio rahisi kupatikana, lakini kitu kimoja ni ngumu ni kuendelea (To keep Going) . Watu ukata tamaa kwenye ndoto za kwa uhakika, lakini nakuambia kuwa maisha yako yataanza kubadilika.Pindi utakapokuwa committed zaidi kwenye ndoto zako kuliko kuwa kwenye hali ya kuridhika.Acha kusukumwa na uoga kwenye akili yako na kuanza kuendeshwa na ndoto ndani ya moyo wako. 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/ 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡MIMI SIWEZI/NI NGUMU SANA/MAFANIKIO NI KWA WALIOKUWA NA BAHATI TU 👉/watch/w29NWxfvwTyvN ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉/watch/0DtvsaPSehVSv ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉/watch/Ux-K_xwrNK8rK ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 /watch/4dNcHRy3fXF3c ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Fanyiakazindotozako2022 #Workonyourdreams #Mafanikio

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11