MZEE WA KILWA AGUSWA NA ZIARA MASHINANI
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo akiendelea na ziara yake Mkoani Lindi, amekutana na Mzee Mohamed Angema ambaye ameguswa na utaratibu huo wa Chama kutembelea, Kukagua Uhai wa Chama na kusikiliza Wanachama ngazi za Mashina.
#CCMApp
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MZEE WA KILWA AGUSWA NA ZIARA YA KATIBU MKUU KWENYE MASHINANI. CCMApp: