المدة الزمنية 11:2

SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO,MIJADALA YAIBUKA, MENGI YASEMWA.

بواسطة Focus News Tanzania
1 719 مشاهدة
0
18
تم نشره في 2021/11/19

HABARI ZA WAKATI HUU: 19.11.2021 1: Baada ya serikali kusema kwamba mkataba wa ujenzi wa mradi wa bandari mpya ya Bagamoyo hakuwa na mashariti magumu kama ilivyoelezwa hapo awali, mjadala waibuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye mitandao ya kijamii. 2: Licha ya kulipwa shilingi billion 1.4, kwa wakala wa majengo nchini Tanzani TBA washindwa kukamilisha ujenzi wa jingo la mama na mtoto katika hospitali ya Rufaa ya Geita. 3: Na Bunge la Ujerumani laidhinisha sheria mpya za kudhibiti corona.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6