المدة الزمنية 9:33

VITUKO Vya RC MAKONGORO, AWAPA TUMBO JOTO Ma - DC, DAS - UTEUZI wa RAIS SAMIA Unaendelea

بواسطة Global TV Online
182 510 مشاهدة
0
679
تم نشره في 2021/06/03

VITUKO Vya RC MAKONGORO, AWAPA TUMBO JOTO Ma - DC, DAS - "UTEUZI wa RAIS SAMIA Unaendelea" MKUU wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, amefanya kikao na wakuu wa wilaya ambapo amewaeleza kuwa wwe tayari kwani uteuzi wa Rais Samia unaendelea na wanaweza kujikuta wamebadilishiwa kituo cha kazi... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 183
  • @
    @kloppsaturn6891منذ 3 سنوات He is strictly and firm but easy to get along with 2
  • @
    @nixonluseno8422منذ 3 سنوات I am happy to see the former first family playing a role in the adminstration of tanzania 1
  • @
    @bobjulieoneheartbandمنذ 3 سنوات Mungu Halali, Asante Mh. Kumteua Mkuu huyu wa Mkoa na kuturudishia Tabasamu na vichekesho vya Baba Wa Taifa vikiambatana na Uchapakazi. 5
  • @
    @auntdorah9141منذ 3 سنوات Nakukubaligi sana Mheshimiwa..
    Asante mama Samia kwa hii zawadi.
    7
  • @
    @samwelsengati1369منذ 3 سنوات Raha sana unakuwa na boss ambae muda wote mnacheka tu. But ukileta mzaha kwenye kazi utajuta. 6
  • @
    @peterkichochi7510منذ 3 سنوات Huyu baba mdogo wataifa very charming. This is a great men. 9
  • @
    @francojohn8488منذ 3 سنوات The Great Mwl Julius K Nyerere forever we love u! 18
  • @
    @deusdebitkowa9657منذ 3 سنوات Kucheka raha,kiukweli tunahitaji sana ucheshi wa aina hii ktk zama hizi. 12
  • @
    @rmaryp6269منذ 3 سنوات Anacheka kama alivyokua akicheka baba yake, na ni mchekeshaji sana 23
  • @
    @stevensteve7519منذ 3 سنوات Du mheshimiwa Makongoro unaporojesha hatari. Kazi njema mkuu 5
  • @
    @rahmahersi2116منذ 3 سنوات Hongera ..na pole sana.
    Ndugu yangu.
  • @
    @princeerick372منذ 3 سنوات What goes around, Comes around!!!! I see The Great Nyerere on you, Mungu akusaidie ukatumike vyema
  • @
    @pascalmsechu6874منذ 3 سنوات Saw sawa Makongoro.unafaaa Sana man..ila zile tabia za Arusha uko hapana 1
  • @
    @Nyanda506منذ 3 سنوات Sio lazima kiongozi kila mara uwe serious tu lazima utengeneze team work nzuri yenye kujiamini na si uoga 7
  • @
    @emanuelnyab9872منذ 3 سنوات Daa kizazi cha Nyerere hicho wanafanana mambo fulani hivi 3
  • @
    @reubenimalando8792منذ 3 سنوات Huyu mh kama nyerere tu story za kuchekesha kwa wingi 10
  • @
    @valenakomba4453منذ 3 سنوات Na siyo wewe tu, bali kila Mkuu Wa Mkoa katika nchi hii, yeye ni Rais Wa Mkoa. 8
  • @
    @diamondgeyser7987منذ 3 سنوات Mkoa wa manyara utaongoza kwa watu wenye furaha Tanzania 16
  • @
    @geofleylunyelele8024منذ 3 سنوات Anachangamsha Sana yaniii uchangamfu kama Baba wa taifa inapendeza Sana mama umetuludishia mzee 17
  • @
    @abdallahlugendo3221منذ 3 سنوات Mkuuu wetu ametuwacha vinywa wazi kwa furaha na vicheko kubwa ni kufanya kazi kwa umakini na uadilifu asante mkuu wa mkowa mhe makongoro nyerere 11
  • @
    @emmanuelbonifas3517منذ 3 سنوات Mungu akujalie kufa umezaa watoto wenye hekima na busara ni raha sana sasa hv mwl anafurah tu huko kila la heri makongoro iwakilishe mara 1
  • @
    @charlesaketch3264منذ 3 سنوات Chapa kazi mkuu mungu akujalie kazi iendelee manyara oyee 2
  • @
    @rahmahersi6584منذ 3 سنوات Hongera sana. Napenda
    Hotuba yako.
  • @
    @happydionice355منذ 3 سنوات Huwa nacheka Sana kila nikikusikiliza mh makongoro 9
  • @
    @rahmahersi2116منذ 3 سنوات Mtoto wa mwalimu
    Una vitukoooo.
    Hujawahi kuwa makuu
    Wa mkoa..mbeleni.
    1
  • @
    @rahmahersi2116منذ 3 سنوات You are fit to be comedy.
    Mtoto wa mwalimu.
    I enjoyed your hotuba.
  • @
    @gabrielaniseti1537منذ 3 سنوات Another Nyerere
    The UNIVERSITY OF POLITICA
    2
  • @
    @laghtnesphilipo489منذ 3 سنوات Asante mama Samia kutuletea mkuu wa mkoa mwenyetabasamu watu wake mithili ya baba yake,
  • @
    @gibsonjosephat6352منذ 3 سنوات Hongera sana Mama yetu Rais Samia Suluhu kwa kutuletea mzee huyu kwenye uongozi. Hata kama mimi niko Kigoma nitakuwa namfuatilia kwenye mtandao ya kijamii ili nifuahi sana.
  • @
    @zaidihussein4311منذ 3 سنوات Makongoro hoyee mungu akusaidie ktk uwongozi wako 1
  • @
    @benedictmrisho5947منذ 2 سنوات Kweli Mama kakujengea historia. U mcheshi lakini ndani ya ucheshi Kuna shukrani na unyenyekevu kwa wananchi. Unawatia moyo wananchi wa mkoa Wako.
  • @
    @abasisapi5474منذ 3 سنوات Hongera Makongoro, kumbe unajua kuongea namna hii?
  • @
    @binurusm8886منذ 3 سنوات Mh Rais wetu, Mama Samia Suluhu Hassan, Mwenyezi akulinde, Kumteua Makongoro nyerere, Kumteua mtoto Edward Sokoine, Hakika Sina cha kukupa zaidi Kukuombea id="hidden2" class="buttons"> Dua na Maombi kwa wingi, Na InshaAllah Mwenyezi Mungu atapokea Dua na Maombi yangu kwako, ikiwa ni Pamoja na Viongozi wote, Kusema Kweli Umetukumbusha mbali sana Watanzania, Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina. ....وسعت
  • @
    @davidmihayo4436منذ 3 سنوات You're as charming as mwl Nyerere was but work hard 1
  • @
    @immahkobeh7620منذ 3 سنوات Hongera SANA mh makongoro jmn mwenye namba za mh makongoro nyerere nakuomba plz nko Siriaz 1
  • @
    @abuyunusmohamed6961منذ 3 سنوات Mheshimiwa makongoro ni mchangamfu sana 12
  • @
    @briansancedo9336منذ 3 سنوات Hahahaha Ucheshi wake unafanana na mwalimu nyerere
  • @
    @arbaab9337منذ 3 سنوات KWELI DAMU HAIPOTEI LIKE FATHER LIKE SON.✍ 4
  • @
    @archnidquasar7314منذ 3 سنوات Huyu bwana mkubwa alikua kwenye kamati ya maadili ya Ccm kipi kimetokea mpaka ashushwe kiasi hiki dah 1
  • @
    @kloppsaturn6891منذ 3 سنوات Sijui kwanini but mimi nahisi kama Charles Makongoro Nyerere anafaa kugombea Urais 2025 2
  • @
    @gasirigwaaloyce8739منذ 3 سنوات Kazi ndo itatuaminisha zaid japo ni mcheshi 1
  • @
    @jacksonoswago6160منذ 3 سنوات Wakiwa serious mnaanza kusema hawana social exposure, wakinuna wananyanyasa wananchi, Makongoro huyu sio wa kufundishwa kazi ya ukuu wa Mkoa , Mama Kamteua id="hidden3" class="buttons"> anamjua sana, kwa ufupi kama humjui Makaongoro anakuwajibisha huku anaendelea kucheka , kucheka kwake ni kama kipaji na upendo aliopewa na /Mwenyezi Mungu akiwa na public, tumwache anayo team kubwa ya watenda kazi. ....وسعت 4
  • @
    @khdigahk4246منذ 3 سنوات Hahaha yani uyu daah mama mtaalishaji WA kipindi 2
  • @
    @nusrathussein521منذ 3 سنوات Yuko sawa na baba yake nyerere kicheko tu 5
  • @
    @mzeeally2474منذ 3 سنوات TATIZO HUYU MZEE HAJUAGI KUNUNA, AKINUNA AN ACT UKWELI NI KWAMBA HAJUAGI KUNUNA MZEE YULE.M 2
  • @
    @edgarjoseph5573منذ 3 سنوات Mbona haichekeshi sasa hawa wanacheka nini
  • @
    @AliMohamed-wp1opمنذ 3 سنوات MAKONGORO NI MCHEKESHAJI NA SIO MWANASIASA 10
  • @
    @phoebemmanga6047منذ 3 سنوات Hakuna kama mama jamani. Nimefurahishwa na kitendo cha kumuenzi Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kumteua mtoto wake Makongoro Nyerere kuwa Mkuu id="hidden4" class="buttons"> wa Mkoa Manyara naona kama baba anaishi. Mungu amsaidie ktk kuongoza Wananchi. ....وسعت 1
  • @
    @christinawallasch5228منذ 3 سنوات Anatengeza good mood ya kazi, watu wafanye kazi kwa confidence na bila uwoga wa kazi tunategemea kazi nzuri kwako na watendaji wako congratulations Mak.
  • @
    @barakashadrack7695منذ 3 سنوات Huu mkoa baada ya mwaka 1 kutakuwa na comedy nzr 3
  • @
    @ramadhanmwandambotuntufye5972منذ 3 سنوات Makongoro nyerere nakupendaga sana, kwa jinsi ulivyo unapendeza sana ukiwa ni muislam, una hekima, subira na utu, unapenda haki, unachokikosa ni uislam id="hidden6" class="buttons"> tu ili Allah akuridhie na aje akupe maisha ya kudumu huko mbele za haki. ....وسعت 1
  • @
    @MohdAli-cx7bcمنذ 3 سنوات Apa unaona utafauti Kati ya viongozi na wababe uyuu mzee anabusara na hekima mtizame sebaya ubabe tu kwa watu wake hajajua kama uongozi ni mapito 2
  • @
    @yohanaikaya6218منذ 3 سنوات Tufanyieni mpango wa kupata Rais kutokea ukoo wenu maana naona ni watu wenye akili nyingi kiuongozi.
  • @
    @mzeeally2474منذ 3 سنوات MAMA AKIMALIZA AMPENDEKEZE TUU AWE MBONA ANAFAA SANA MAKONGORO. 1
  • @
    @wizanakitvonline6190منذ 3 سنوات Naomba kujua , kabla mama hajamteua kuwa RC , alikuwa nani huyu nyerere
  • @
    @alluminiumexperttz.12mview13منذ 3 سنوات Shida ya bongo ukionyesha meno tu umekwisha. Ukweli ni kwamba hapa bongo ukitaka kuwa kiongozi mwenye mafanikio lazma ufanye maamuzi magumu na njia pekee ni kuhakikisha huonyeshi meno kizembe 2