المدة الزمنية 8:14

Daktari kiganjani:Epuka kunywa maziwa na vyakula hivi ukiwa na vidonda vya tumbo.

بواسطة Daktari Kiganjani
3 853 مشاهدة
0
42
تم نشره في 2021/01/30

Sehemu ya pili katika kutoa elimu kuhusu vidonda vya tumbo. Nadharia ya unywaji wa maziwa imekaa vipi/ ukweli ni upi? -Vyakula gani ni sahihi n vipi vya kuepuka kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo? -dalili zip ni hatari -tiba je? Daktari Kiganjani ni chaneli yako Pekee utakapo pata majibu na Elimu ya kitabibu kuhusu Magonjwa na hali mbali mbali za Kiafya... Daktari wako yupo kukuelezea na kukuchambulia. mawasiliano; simu:+255624054976 email:daktarwang@gmail.com Instagram: https://www.instagram.com/daktari_kiganjani/?hl=en narration: Anatoria Gabliel, Instagram:https://www.instagram.com/anatoria_gabriel/?hl=en Copyright disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use. ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 9