المدة الزمنية 3:22

GUNDUA UWEZO NDANI YAKO - Hamasa Ya Leo EP. 27

18 880 مشاهدة
0
420
تم نشره في 2019/01/02

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI " /watch/AEB06hqV3uPV0 --~-- Tambua Uwezo ndani yako Gundua uwezo wako kipaji chako ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………….. Kuna watu wanatafuta vitu ambavyo tayari wanavyo, vipo katika uwezo wao, vipo katika mikono yao, vipo katika sauti zao. tayari wanavyo ila hawajagundua kuwa wanavyo. Fanya uchunguzi leo kuhusu vitu unavyovitafuta katika maisha yako, utagundua kuna vitu vingi ambavyo unavyo lakini haujawahi kugundua tu kuwa unavyo. unachotakiwa ni kuwa na ujasiri wa kuvigundua na kuvitumia. “Everything you need to be great is already inside you. Stop waiting for someone or something to light your fire. You have the match”. ― Darren Hardy . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #GunduaUwezowako #HamasaYaLeo #EzdenJumanne

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49