المدة الزمنية 2:59

Wimbo wa Kusifu | Yasifu Maisha Mapya (Music Video)

111 290 مشاهدة
0
365
تم نشره في 2020/01/13

Bwana Yesu ambaye tumekuwa tukitamani amerejea! Je, unataka kujua kuonekana kwa Mungu na kazi Yake katika siku za mwisho? Unataka kupata wokovu wa siku za mwisho wa Mungu? Jihisi huru kuwasiliana nasi. WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254-700-427-192 Wimbo wa Kusifu | Yasifu Maisha Mapya (Music Video) Haleluya! Twakushukuru Mwenyezi Mungu! Haleluya! Kukusifu Mwenyezi Mungu! Kristo ameonekana katika siku za mwisho. Maneno Yake yanatuhukumu, kututakasa na kutubadilisha. Ni neno la Mungu ambalo limenibadilisha, kwa hivyo nina maisha mapya ya kumsifu Mungu. Ni ajabu kuuelewa ukweli. Naacha upotovu wangu na kujisikia huru kabisa. Dhana zangu zote zimeondoka, na uasi hauko ndani yangu tena. Hakuna kuzurura tena, hakuna kuteseka tena. Roho yangu imewekwa huru, Mungu likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu. Ni furaha ya Mungu kuufurahia upendo wa Mungu. Nimeonja upendo mtamu sana. Nitampenda Mungu daima. Ndugu, dada, hebu tuje pamoja, bega kwa bega, pamoja kama kitu kimoja. Kwa moyo mmoja na nia moja, tunamtumikia na kuimba sifa Zake. Nani asiyeweza kueleza upendo wake? Ngoma na kupiga makofi! Nitamwabudu Mungu wa vitendo milele! Nyimbo zetu zimejaa upendo kwa Mungu, kwa Mwenyezi Mungu tunafanywa upya. Maisha yetu potovu ya zamani yameisha, ni furaha kuishi mbele za Mungu! Kutenda ukweli kwa karibu kunatuweka huru. Kumletea Mungu utukufu. Tunampenda Mungu na kuishi katika mwanga. Watu wa Mungu hufurahia maisha mapya. Tumeipita mipaka ya mizigo ya dunia, familia, na mwili. Jinsi gani ilivyo ya kupendeza kupendana. Jinsi gani ilivyo ya kupendeza kupendana. Umetoholewa kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: http://bit.ly/2WHrvj2 App store: https://apple.co/2ZEE29d Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org Wasiliana Nasi: +254-700-427-192 Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Tunaheshimu haki za uvumbuzi za watu wengine. Ukishuku kwamba maudhui yoyote tunayotoa yanaingilia haki zako za uvumbuzi au za mtu mwingine, tafadhali tujulishe mara moja, na utoe ushahidi ulioandikwa wa kweli na wenye sababu thabiti. Tutathibitisha madai yako na kuyashughulikia ipasavyo kwa wakati unaofaa. Tafadhali tuma stakabadhi zozote husika kwa copyright@kingdomsalvation.org. #swahiligospel #Injili #kikristo #gospel #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10