المدة الزمنية 4:00

Shortbread cookies

بواسطة Flavour Of Zinjibar
608 مشاهدة
0
16
تم نشره في 2020/11/25

150g sukari 150g unga wa ngano 150g semolina Chumvi pinch Vanilla drops Unapoweka unga wako Kwa ajili ya kufanya nakshi ukihisi mwepesi unaweza kuongeza kidogo semolina na kidogo unga wa ngano. Kama unatumia naksi ya kufanyia shape ukiona inaganda weka unga kidogo katika chombo chako unotumia hii itasaidia kutoka kwa urahisi. Wakati unatandaza kwenye trea hakikisha umetandaza mchanganyiko wako flats weka alama ya kukata kwa kisu ukimaliza kuzibake wacha zipoe kidogo zikate tena enjoy chai yako au kahawa☕️

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6