المدة الزمنية 3:32

KAULI YA WIZARA KUHUSU UTOROSHWAJI WA MADINI

بواسطة Millard Ayo
366 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2019/09/05

Jumuiya ya nchi za Maziwa Makuu zimekutana jijini mwanza kujadili namna ya kudhibiti utoroshwaji wa madini katika nchi hizo Hapa Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema kuwa watu wanahisi wanaweza kutajirika kesho kupitia madini na kuacha shughuli zingine na kujikita kwenye machimbo bila ya ufahamu kuwa madini huwa yanaisha

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0