المدة الزمنية 8:52

SIMBA YABADILI GIA ANGANI/ YATUA NIGERIA/ KUSAJILI KIUNGO WA PLATEAU UTD

بواسطة Dar24 Media
10 125 مشاهدة
0
29
تم نشره في 2021/06/22

Kiungo mshambuliaji kutoka Nigeria amefunguka yupo katika mazungumzo ya awali na Klabu ya Simba ambao wameonyesha nia ya kumhitaji kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu na Michuano ya Kimataifa. Kiungo huyo amesema Simba SC ilianza kuongea naye tangu kumalizika kwa mchezo dhidi ya PLATEAU UTD walipokutana katika michuano ya kimataifa -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #simbasc #plateauutd #usajilisimbasc

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1