المدة الزمنية 1:53

OR-TMSMIM

بواسطة OR-TMSMIM ZANZIBAR
311 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2021/11/05

Waziri wa nchi Afisi ya Rais Tawala za mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ mh Masoud Ali Mohamed, amesema huduma za afya zinazotolewa na hospitali za idara maalum zimekuwa ni msaada mkubwa Kwa wananchi walio wengi. Akiweka jiwe la msingi wa ujenzi wa hospitali ya Jeshi la kujenga Uchumi JKU saateni, amesema kutolewa Kwa huduma bora za afya katika hospitali hizo ni sehemu ya kuzisaidia hospitali za Serikali kupokea idadi kubwa wagonjwa kutoka maeneo mbali mbali. Hivyo ameagiza Kwa uongozi wa JKU kukamilisha ujenzi huo ili kuiwezesha hospitali hiyo iweze kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya Kwa askari pamoja wananchi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1