المدة الزمنية 3:51

JE UNAPITIA WAKATI MGUMU HIVI SASA KATIKA MAISHA : Angalia hii kabla ujakata tamaa Gonline

بواسطة G Online
2 834 مشاهدة
0
53
تم نشره في 2020/04/07

Maisha yana changamoto nyingi sana, tena zenye kuumiza sana, je unapitia wakati mgumu hivi sasa? Umefukuzwa kazi, biashara haifanyi vizuri sokoni, unayempenda hakupendi, umepoteza mtu katika familia. Najua ni jinsi gani inauma , lakini hayo ndo maisha, maisha si rahisi, si lele Mama lazima upambane. Kuwa watu hawana kazi muda huu, na wanafamilia inawatengemea hii imetoka na tatizo kubwa lililokumba dunia (Corona) , ni unamawazo, umechanganyikiwa utafanyaje, najua unavyojisikia, angalia hii video kabla ujakata Tamaa. Ama kwa hakika mungu anakupenda sana na amini hilo pia litakwisha. Usikate Tamaa. PAMBANA ............................................................................ Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 https://www.tubebuddy.com/Gonline 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇 /channel/UCk-G 🔴Follow me on IG- https://www.instagram.com/zahir11gome ... 🔴Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡JINSI YA KUWA BORA KATIKA UNACHOFANYA: Kazi & Biashara 👉/watch/0vSxeoHiDmAix ⚡ UKWELI KUHUSU MAFANIKIO UNAOTAKIWA KUFAHAMU -/watch/gKmyZ4LT9pTTy ⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako 👉/watch/47pGKa0baGGbG ⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉/watch/kNvxPR3MgRLMx ⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 /watch/IdeBGj4SRE5SB ⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 /watch/EDmnNFzwqXvwn ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/4Q3OgNLNiv4NO ⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako 👉/watch/gL_XpCg-2MJ-X ⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA 👉/watch/8fyBmbjVyeTVB ⚡TABIA (9) HASI ZA KUACHA 2020 ILI UTIMIZE MALENGO/NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MAISHA 👉 /watch/4lAHTV6JqLkJH 🔴Background Music from ROSS BUGDEN-CREATION - YouTube link 👇 /channel/UCQKG ... #gonline #zahirgomelo #maisha

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4