المدة الزمنية 5900

NMB Marathon 2021: DULLA MAKABILA & MEJA KUNTA

بواسطة NMB Bank Plc
121 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/09/23

Wakali wa Singeli hawajakubali kuachwa na Mwendo wa Upendo. Septemba 25 tunaenda kukutana kwaajili ya NMB Marathon kuanzia viwanja vya Leaders Club na usikubali kuachwa kwani mbali na mbio, burudani kibao zitakuwepo. #FistulaInatibika #MwendoWaUpendo #NMBMarathon2021

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0