المدة الزمنية 16:24

UKWELI KUHUSU KAZI ZA KULEA WAZEE ULAYA NA MAREKANI

بواسطة Mama Franjo Vlog
13 365 مشاهدة
0
219
تم نشره في 2019/02/24

karibuni kwenye channel yetu msisahau kusubscribe kupata habari zote zinazotrend za nje na ndani ya nchi Maoni , ushauri , kutangaza nasi tuandikie instagram devotv online email: kunta1010.rm@gmail.com SOCIAL MEDIA Facebook https://www.facebook.com/swahilifilmd ... INSTAGRAM DEVOTHA MEDIA DEVO TV ONLINE Diamond platnumz, alikiba, zarithe bossylady, maisha ya ughaibuni, shilawadu , ubuyu, hamisa mobeto , wemasepetu, bongomovie , na mambo mengi subscribe asante

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 239
  • @
    @devothadonaldsimbi3499منذ 5 سنوات Yaani nimejisikia kucheka kwanza,sio rahisi kukuelewa kwa watu ambao hawajaishi ulaya hata kidogokama unavyosema kazi hiyo wanaichukilia kana kwamba Ni id="hidden1" class="buttons"> ya wasiokuwa na elimu Ni kazi ya ovyo,Niko ufaransa kazi hiyo inafanywa na nurse uko sawa mpka upitie medicine na lugha ujue kiingereza kibaki nyuma kifaransa mbele,wanaojidai na kiingereza huna nawapa pole Sana kwani sio ulaya yote wanatumia hiyo lugha.naamini doctor wa Tanzania akifika ufaransa Kama anaongea kifaransa ndio anaweza kufanya na hatoitwa doctor ataitwa lazima aende Tena darasani hawatakuamini na cheti kutokea nchini ulipotoka.pia kibali Cha kufanyia kazi unaweza kupata visa Ila je visa yako inakuruhusu kufanya kazi. ....وسعت 2
  • @
    @glorymollel226العام الماضي naomba nitafutie kazi ndugu yangu Maisha yangu magumu 2
  • @
    @munaahmed8499منذ 3 سنوات Wao mama Fanjo mm English sijui na kazi napenda mpaka sasa napigika oman huku nikuombe nitafutie ya kulea mtoto 1 English nitajua taratibu insha allah id="hidden2" class="buttons"> maan nimekuja Oman sijui kiarabu lakini sasa nakicharaza kam nimezaliwa huku so na huko pia nitajifunza nitajua insha allah nilee watoto nicheze nao watanipendackam nitavyowapenda dada please tusaidie ....وسعت 3
  • @
    @yahayahanafi3234قبل 9 أشهر Dada ujambo iyokazi mshaara no shilingi ngapi
  • @
    @tuntufye8814منذ 5 سنوات Nakupendaga sana co mchoyo mama franjo
  • @
    @sharifasuleiman8297قبل 8 أشهر Mm nalea mzee Iraq naisi kuchanganyikiwa kwakweli
  • @
    @bobushivo6182منذ 5 سنوات Dada mi naomba nitafutie kaz huko please 2
  • @
    @mariachombo7316منذ 4 سنوات Naomba jinsi ya kupata kazi huko,,ni nurse asstant tayari 1
  • @
    @balozibalozi5257منذ 5 سنوات Upendeza sana Na topic nzuri dear nimeipenda
  • @
    @msafiri85منذ 5 سنوات Dada naomba utuelezee kazi ya Redlight. Asante sana dada 1
  • @
    @ninosaodi5559منذ 3 سنوات Mm Dada najua kusuka nyele Aina zote na kushonea wingi rasta Aina zote na passport nnayo
  • @
    @glorymollel226العام الماضي Jamani Dada yangu Mimi sijui kiingereza ila ntajifunza niaidie 1
  • @
    @milliegachihi9428منذ 2 سنوات naeza ipata wapi plz atakama ni uku Kenya am very stressed nanko willing kufanya
  • @
    @natashaplatin5818قبل 11 أشهر Naipenda kazi hiyo ya kurea wazee.mama franjo. samahani sana.natuta kazi hiendeleee 1
  • @
    @sandraamani112منذ 5 سنوات Asante sana kwa kutujuza, sasa wengi tumefahamu kuwa kila kazi lazima kusomea.
  • @
    @gullaalex6590منذ 5 سنوات Naomba uwelezee kz za usaf maofosn n hotel 2
  • @
    @zungumyonly1393منذ 5 سنوات Ahaaaaa mama franjo nimeanza kukuangalia tu leo baada ya jana rafiki yangu kunambia but your so funny nipo sehem ya tisa ya historia yako ila ume make my day leo but pole na hongera kwa ku pambana 1
  • @
    @sarahsilasisarahsilasi5823منذ 5 سنوات Nimekuelewa sana mamy uzidi kutuelimisha sisi wa tz 1
  • @
    @jobrosana3010منذ 3 سنوات I need the job to take care of the old people
  • @
    @nourumouniry7120منذ 4 سنوات my dear mie nimezoeya kulea wazee nimelea wazee wawili Oman kwahyo naweza dada nifanyie mpango hata kama sio kulea wazee hata yausafi ndani yani kazi za ndani 2
  • @
    @anjelinakaniki9162قبل 3 أشهر Habar yako dada jamani mm nahitaji naomba unisaidie 1
  • @
    @maryammaram2612منذ 5 سنوات I love you mamy mi napenda uongelee kazi ya baby sitting na kazi za kupika na je mahouse keeping huko misharaha yao ipoje.. il 1
  • @
    @jovenchik2521منذ 5 سنوات Nimefika kwa speed ya 4G .
    Hii topic konki sana
    2
  • @
    @johnmgalula1830منذ 2 سنوات Mimi ninaomba dada uniunganishie kazi ya kufundisha ni mwalimu
  • @
    @fatemaissaissafatema6310منذ 4 سنوات Mm nimeifanya miaka8 inataka moot sana nilikua ananipaka kinyesi ataki kuoga yaan umbembeleze mpaka akubali apo ushunusa mavi na use na uruma nimejenga na family yang nimeweza kuilea na nilikua mwenyewe tu 2
  • @
    @tuntufye8814منذ 5 سنوات Unatusaidia sana Wa tz,,,umeongea vzr,,,sisi hatujui huko kuna kaz gan na gan,,tunaomba tuelezee kazi ambazo hazihiyaji elimu na mishahara yake 6
  • @
    @Kenchiyhمنذ 5 سنوات Watu wanathani utaajiliwa bila any process 1
  • @
    @ilovejesus9303منذ 5 سنوات Marekani unafanya ila ukitaka upate kwa urahisi unasomea CNA ( certified nurse assistance) miezi 3 unapata cheti then unapata kazi zipo nje sanaaa. Ukiisha id="hidden6" class="buttons"> pata CNA unaweza kufanya kazi na uanze Tena shule ya nursing, kazi ni hizo ila cheo kinapanda na pesa inaongezeka kutokana na daraja la nursing uliopo. ....وسعت 9
  • @
    @kikapuchetu3935منذ 4 سنوات Njia rahisi ya kupata ukaazi wa kudumu Canada
  • @
    @elinamwinuka8912منذ 5 سنوات Mama Franjo please tuelezee hizo kazi vizuri ili tufahamu nini cha kufanya manake hiyo elimu wengi wetu hatuna. 1
  • @
    @barikikaroli6088منذ 5 سنوات Umeongea ukweli sana watu wengi wanadhani ni Kazi ndogo 1
  • @
    @jovenchik2521منذ 5 سنوات Watu wanafikra potovu ya hii kazi
    Wanahisi ni kama kazi ya slope
    4
  • @
    @itsangylifestyle1162منذ 5 سنوات Kazi za chida izo my dear.wengi wanakwaka na enda jela ju ya izi ma kazi.piya namiye nili soma juya ku leya watu wakubwa.lakini siji sikiyi ata kutafuta id="hidden7" class="buttons"> kazi inahusu iyi unapashwa ukuwe na roho ngumu yaku towa mavi ....وسعت
  • @
    @zammaulidi7507منذ 3 سنوات Kweli kazi kubwa dawa za masaa kama katobolewa tumbo ndio kumsafisha Yani kazi Sana ukikaa na Mzee zidi ya mtoto 1
  • @
    @rehemahramadhani3428منذ 5 سنوات ila wazee wa huk inaonekana wana tab sana lkn kila mzee ana tabia yk
  • @
    @elvisoscar9912منذ 3 سنوات Mi nataka iyo ya kulea wazee ila iwe Marekani nitafute 0784702802
  • @
    @asfarsham9037منذ 4 سنوات Canada ,usaidizi wa wazee wanaita PERSONAL SUPPORT WORKER.unasomea pia angalau miezi 6 3
  • @
    @jumanassoro1552منذ 2 سنوات Ndio maana god bless lema na tundu lisu wanajivuna sababu kazi za kuogesha vibabu vya kizungu uko ushogani 1
  • @
    @chayogasperi9783منذ 4 سنوات Malipo yako vipi ???
    Mbona kazi rahisi tu hiyo ????
    3
  • @
    @BillysFamilyمنذ 5 سنوات Wapeeee chai dada it's very hard than you can think .yani sifanyi kazi hiyo ila nawasalute watu wote wanaofanya kazi hiyo. Unahitaji uvumilivu na upendo wa hali ya juu na sio kila mtu anaweza fanya period . Elimu pia 5
  • @
    @jean-baptistamosescumudia1809منذ 2 سنوات Nilipata kazi hiyo Scotland - Aberdeen mwaka jana lakini nilisita sana kwasababu visa haikuruhusu kufanya kazi nyingine zaidi ya hiyo.bado wananiulizia kama nipo tayari 2
  • @
    @lucaskimaro2964منذ 5 سنوات Mama franjo tunaomba utuelezee kazi ya uphamarcia huko inakuaje??
  • @
    @mwanaharabu82منذ 5 سنوات Nafikiri ni hivyo kwa nchi karibu zote za EU 1
  • @
    @hannahnduta8538منذ 2 سنوات Please help me get a job for the elderly 1
  • @
    @tfsgvz9369منذ 3 سنوات nnmanisha kusomea kazi ya kulea wazee wakati unasoma una lipwa pesa ama hulipwi?? 1
  • @
    @florachifupa2751منذ 5 سنوات Ma flanjo ninashida na ww ila naishi hapa czech republicni jirani ujeluman tuwasiliane kwa maelezo zaidi 1
  • @
    @rehemaathumani3071منذ 5 سنوات Ila jamani kwenda ulaya sio kukurupuka tu
  • @
    @sophiamasawe4309قبل 11 أشهر Sorry dada wanahtaji watu wa umri gani mi Nina miaka 37
  • @
    @devothadonaldsimbi3499منذ 5 سنوات Hapa ufaransa hata kazi ya house maid sio rahisi kuna kozi na babysitting hivyo hakuna jamani hata kulea watoto tuu hakuna urahisi kila kitu kinaenda na id="hidden10" class="buttons"> utaalamu,jitahidi kuelewesha ila sio rahisi watu kukuelewa kwani Tanzania tumezoea mayaya ndio wasiokuwa na elimu na ni rahisi kuwapa kazi. ....وسعت 2
  • @
    @jumanassoro1552منذ 2 سنوات Tushakuelewa sisi tunajua kazi ya kulea wazee ayo majina yote unayaleta wewe wazee ni wazee tu usituchanganye sisi wote waswahili 1
  • @
    @mawam6462منذ 4 سنوات Alaf ikiwa mtu ana uzowefu naiyo kazi yakulea wazee je kuna ulazima wakuisomea?
  • @
    @jovenchik2521منذ 5 سنوات Na pia unatakiwa uwe unajua kuhandle Mtu mzima bila kunyanyapaa kinyaa na uwe na upendo 4
  • @
    @nikitadiamorelivingstone2831منذ 5 سنوات hizi kazi za kulea wazee, au kulea disabled people, sio kazi za kila mtu, kwa maana bora kazi tu, ni kazi ambazo zinahitaji mtu mwenye upendo na uvumilivu wa hali ya juu, kutunza wazee wa huku ulaya sio mchezo mchezo. 1
  • @
    @saidmaulid7668منذ 3 سنوات Mi nataka kazi yoyote dada nisaidie hata mawazo tu
  • @
    @tfsgvz9369منذ 3 سنوات Sasa ukiwa wasoma hiyo kazi uta somea wap alafu ukiwa masomon uta lipwa ama nivp 1
  • @
    @vannymtengile4848منذ 3 سنوات Samahan Dada naweza kupata mawasilano yako au namba yangu hiyo ya what's up 0685988661
  • @
    @sarahmunyiva5769منذ 5 سنوات Ninapenda io kazi.nilifanya oman qatar na nikabatiika nipate tena naeda kuifanya.dio my job that i like 1